Wanatupia misuli na kanzu ili iwe rahisi kufanya yao vichakani.Kaskazini Unguja Kuna maeneo unapita unakuta clvichaka vinanuka mavi
Duh,na ndio wanaongoza kwa kulana tigo,Sasa sijui hawakutani na nyaaaWahusika acheni uchafu
Mwanza No!
Labella naona kwenu Kaskazini Pemba kunatrend pale juu kabisa
Huko Pemba wajengewe vyoo, kipindupindu kitawamaliza.View attachment 3043360
Mikoa yenye idadi kubwa ya kaya zinazojisaidia vichakani, porini na baharini (hazina vyoo).
Asilimia ya kaya kati ya kaya zote katika mkoa husika zinazojisaidia vichakani n.k
1. Kaskazini Pemba - 30.9
2. Kusini Pemba - 19.8%
3. Manyara - 17.3%
4. Arusha - 15.3%
5. Mara - 15.3%
6. Tabora - 13.6
7. Simiyu - 9.1%
8. Kaskazini Unguja - 8.7%
9. Shinyanga - 8.3
10. Singida - 7.9%
11. Tanga - 7.3%
12. Katavi - 7%
13. Kaskazini Unguja - 5.5%
14. Dodoma - 5.3%
15. Geita - 5.2%
The Chanzo
Nimeshangaa kutoiona Lindi na MtwaraLabella naona kwenu Kaskazini Pemba kunatrend pale juu kabisa
Mbona Dar kila sehemu kuna mikojo lakini haimo, ukweli Dar inaongoza labda tu kama kukojoa hovyo sio kujisaidia.View attachment 3043360
Mikoa yenye idadi kubwa ya kaya zinazojisaidia vichakani, porini na baharini (hazina vyoo).
Asilimia ya kaya kati ya kaya zote katika mkoa husika zinazojisaidia vichakani n.k
1. Kaskazini Pemba - 30.9
2. Kusini Pemba - 19.8%
3. Manyara - 17.3%
4. Arusha - 15.3%
5. Mara - 15.3%
6. Tabora - 13.6
7. Simiyu - 9.1%
8. Kaskazini Unguja - 8.7%
9. Shinyanga - 8.3
10. Singida - 7.9%
11. Tanga - 7.3%
12. Katavi - 7%
13. Kaskazini Unguja - 5.5%
14. Dodoma - 5.3%
15. Geita - 5.2%
The Chanzo
Ongeza sauti πππMachalii wa R wanakunya kimba refu
Usikatae.. takwimu ni za home ila we hauhusiki kwenye hicho kitendoMimi sio mpemba πΉπΉπΉ
πππ Mimi sio MpembaUsikatae.. takwimu ni za home ila we hauhusiki kwenye hicho kitendo