The church is mental slavery

Lol. Hapana. Figures would suffocate me I wouldn't make it beyond the first semester of accounts college.
aahahahahh...yeye ni mbobezi wa mifumo ya mawasiliano...worse than figures 😂
 
Yale mabidhaa ya upako yanayouzwa makanisani ni chanzo tosha cha serikali kupata income. Hebu fikiria gram 50 ya chumvi inauzwa 5'000/-
Ukiachilia mbali hilo mkuu, mada inayo chukuaga muda mwingi zaidi ni ile mada yakuwaambia watu kutoa sadaka, hizo mada ndio huongoza kwa kutumia muda mwingi. Likifika somo la kufundisha umuhimu wa kutoa sadaka hapo sasa muhubiri atawahubilia kwa msisitizo mpaka koromeo linamkauka [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
The church was never meant to be an institution to oppress anyone,
If there are churches which do oppress their congregants then that is not what the Bible intended those Churches to be.

Apart from all of these accusations from these satanists in the coat of atheism and agnosticism to the church, the church still remains the most safe place in this chaotic word,
The place where ignorant men get wisdom, the place where the hopeless gets hope.
 
Kwa hiyo kule kulia ni maumivu ya kubaguliwa na wala sio kuvuviwa na roho??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…