Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nawaza tu pale airport wanakagua MZIGO unakutwa na majivu kwenye begi,unaweza onekakana mchawiNatumia bicarbonate plus hydrogen peroxide may be na garlic smt hizo industrial toothpaste nishasahau Kama zipogo ujue, human beings have brainwashed to respond to hype or what elite wants to you to behave
Bicarbonate is the king hata ikiwa yenyewe mkuu, kwanza ni alkaline so wadudu pia wanauliwa ama unaweza ukatumia iyo peroxide mbona easy, home bush zamani watu walitumia ashes kumbe bana watu walijua natural science Mana majivu ni alkaline,Kuna haja ya kutumia hii formula
Tafuta tu kikubwa zijaze mfuko.Hela au pesa
Ni nini hii mkuuGiggle peroxide mdomoni almost for 10minutes ikiwa mdomoni inafanya wonders kubwa mno, Ile kuwa tunaangamia kwa kukosa maarifa is true gem
Hydrogen peroxide, ya kusukutua mdomoni waombe famasi, na bicarbonate nunua Ile Chapa Simba na sio maandashi dukani inauzwa buku, ni nzuri mno Mana ni alkaline , hata kuoshea matunda, mbogamboga ili ku neutralize acid, hii ni kemiaNi nini hii mkuu
Unayajua madhara ya kutumia peroxide?Hydrogen peroxide, ya kusukutua mdomoni waombe famasi, na bicarbonate nunua Ile Chapa Simba na sio maandashi dukani inauzwa buku, ni nzuri mno Mana ni alkaline , hata kuoshea matunda, mbogamboga ili ku neutralize acid, hii ni kemia
Bicarbonate je unayajua ,orodhesha hapa isaidie wengi ama Trudie majivuUnayajua madhara ya kutumia peroxide?