mimi nilikua shughuli zangu na nikapata watu kwa site..nikawauliza kama kuna issue wakaniambia kazi ya ujenzi umeanza tu leo na pia court case ilishamalizwa..na siku zijazo kazi itakua mingi..unaeza pata iyo kesi waliamua waimalizie nje ya court kwa maana mwenye alikua aliwapeleka wenyeji hilo jumba kwa koti alikua ni mganda..na ilisemekana hilo shamba ilikua ni ya kenya railways..na huyo mganda alipewa tu kitambo na rais mstaafu moi..but kumbuka kenya railways hivi karibuni wamekua wakiyachukua mashamba yao zote uku kenya wale walionyakuliwa..wacha tuone hii wiki venye mambo yameenda but nina uhakika kazi imeanza tena