The Project to build Kenya’s tallest building at Upper hill Nairobi seems to have resumed after long battle with court cases over its construction. According to workers at the site,stated that work has officially resumed and expecting more series of activities in the coming months..
View attachment 1598895View attachment 1598896View attachment 1598897
hao ni wafanyikazi wanajenga hizo barriers kama desturi tu ya kawaida kwa site panapo jengwa jumba ama project fulani..kabla kazi haijaanza..hizo bariers zilikua zimeanguka sasa wenyeji wamerudi kazi ili wamelize hilo projectAisee huya jamaa mbona anajenga protection barrier? Ni wa kufanya usafi !
leta evidence mzee hapo ni watu wanajenga protective barrier tena kwa mabanzi! ☝️ 😂😂☝️hao ni wafanyikazi wanajenga hizo barriers kama desturi tu ya kawaida kwa site panapo jengwa jumba ama project fulani..kabla kazi haijaanza..hizo bariers zilikua zimeanguka sasa wenyeji wamerudi kazi ili wamelize hilo project
boss jipe shughuli...najua unaskia vibaya na wivu..unadhani kenya haisongi mbele? kama unataka evidence panda gari ama ndege ukuje nairobi ujioneeleta evidence mzee hapo ni watu wanajenga protective barrier tena kwa mabanzi! ☝️ 😂😂☝️
mwambie ameze wembeboss jipe shughuli...najua unaskia vibaya na wivu..unadhani kenya haisongi mbele? kama unataka evidence panda gari ama ndege ukuje nairobi ujionee
wacha desperation ujenzi would mean several people hapo ni kibarua anajenga protective barrier tena using mabanzi after media complained!boss jipe shughuli...najua unaskia vibaya na wivu..unadhani kenya haisongi mbele? kama unataka evidence panda gari ama ndege ukuje nairobi ujionee
sawa basi nenda ukalale..sitavutana na wewe.wacha desperation ujenzi would mean several people hapo ni kibarua anajenga protective barrier tena using mabanzi after media complained!
leta court vedict inasema their dispute imeisha!sawa basi nenda ukalale..sitavutana na wewe.
mimi nilikua shughuli zangu na nikapata watu kwa site..nikawauliza kama kuna issue wakaniambia kazi ya ujenzi umeanza tu leo na pia court case ilishamalizwa..na siku zijazo kazi itakua mingi..unaeza pata iyo kesi waliamua waimalizie nje ya court kwa maana mwenye alikua aliwapeleka wenyeji hilo jumba kwa koti alikua ni mganda..na ilisemekana hilo shamba ilikua ni ya kenya railways..na huyo mganda alipewa tu kitambo na rais mstaafu moi..but kumbuka kenya railways hivi karibuni wamekua wakiyachukua mashamba yao zote uku kenya wale walionyakuliwa..wacha tuone hii wiki venye mambo yameenda but nina uhakika kazi imeanza tenaleta court vedict inasema their dispute imeisha!
sijakuelewa andika kwa kiingereza!mimi nilikua shughuli zangu na nikapata watu kwa site..nikawauliza kama kuna issue wakaniambia kazi ya ujenzi umeanza tu leo na pia court case ilishamalizwa..na siku zijazo kazi itakua mingi..unaeza pata iyo kesi waliamua waimalizie nje ya court kwa maana mwenye alikua aliwapeleka wenyeji hilo jumba kwa koti alikua ni mganda..na ilisemekana hilo shamba ilikua ni ya kenya railways..na huyo mganda alipewa tu kitambo na rais mstaafu moi..but kumbuka kenya railways hivi karibuni wamekua wakiyachukua mashamba yao zote uku kenya wale walionyakuliwa..wacha tuone hii wiki venye mambo yameenda but nina uhakika kazi imeanza tena
Weye hukielewi kiswahili na hukielewi kiingereza pia, labda angekuandikia kwa kiganda sijui kisukuma ama hata kinyamwezi weye bongolala.sijakuelewa andika kwa kiingereza!
Weye hukielewi kiswahili na hukielewi kiingereza pia, labda angekuandikia kwa kiganda sijui kisukuma ama hata kinyamwezi weye bongolala.
kalb hayawan.
Wenye wivu wajinyongeAisee huya jamaa mbona anajenga protection barrier? Ni wa kufanya usafi !
Thank you for informing us.The Project to build Kenya’s tallest building at Upper hill Nairobi seems to have resumed after long battle with court cases over its construction. According to workers at the site,stated that work has officially resumed and expecting more series of activities in the coming months..
View attachment 1598895View attachment 1598896View attachment 1598897
Project imeanza wewe endelea kuugua kwa wivu.leta evidence mzee hapo ni watu wanajenga protective barrier tena kwa mabanzi! ☝️ 😂😂☝️
Kiswahili cha Kenya huwezi kukielewa. Wewe nenda ukalale. Hata mimi nilikuwa naandika kiswahili kibovu hivyo nilipojoin JF.sijakuelewa andika kwa kiingereza!
That tittle 'Tallest in Africa is Outdated 'The Project to build Kenya’s tallest building at Upper hill Nairobi seems to have resumed after long battle with court cases over its construction. According to workers at the site,stated that work has officially resumed and expecting more series of activities in the coming months..
View attachment 1598895View attachment 1598896View attachment 1598897
Ya Misri tu ndio itashinda hii. Ya SA bado ni dwarf. Tuliza nyege. Halafu ya Misri bado haijakamilika. Wacha kudanganya watu.That tittle 'Tallest in Africa is Outdated '
Misri na SA walishazinda majengo marefu zaidi ya Hilo na mengine yameshakamilika
Update your head.