The Countries With The Fewest Doctors In The World

Juakali1980

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2015
Posts
798
Reaction score
506
Rank Country Physicians per Million People
1. Liberia 14
2. Malawi 19
3. Niger 19
4. Ethiopia 22
5. Sierra Leone 22
6. Tanzania 30
7. Somalia 35
8. Chad 37
9. Gambia, The 38
10. Mozambique 40
11. Guinea-Bissau 45
12. Burkina Faso 47
13. Central African Republic 50
14. Togo 53
15. Rwanda 56
16. Papua New Guinea 58
17. Benin 59
18. Senegal 59
19. Timor-Leste 73
20. Cameroon 80
21. Mali 83
22. Zimbabwe 83
23. Congo, Rep. 95
24. Ghana 96
25. Guinea 100
 
Makubwaa
Hao wote watokao IMTU,MUHAS n.k waenda wapi. Au ndo warundikana siasani kuzigombania hatamu. Haya sasa ni wachache ndiyo na swala la quality liko vp la hao wataalamu
 
25 Countries With Limited Access To Health Care
Africa is home to twenty-four of the twenty-six countries with the fewest numbers of doctors per capita.

fewest-doctors.jpg

Hospitals in West Africa are often drastically underfunded and severely understaffed compared to the standards of developed countries.
In Liberia, the worst case presented on this list, there are essentially ten doctors for every million people. As you move down the list, Guinea fares little better, at 100 physicians per million people. In contrast, high income OECD countries, like the United States, Canada, and the United Kingdom, boast figures closer to 3,000 doctors per million people.

Why Such an Absence of Doctors?
As often stated by Dr. Gary Parker, Chief Medical Officer for the global medical charity Mercy Ships, “there are lots of reasons for the lack of health care in the developing world, just no good ones.” What this means is that, no matter where a person lives, they should be proffered some level of access to the medical services they need to thrive throughout life. Still, studies completed by research authorities such as the World Health Organization point to a number of factors that result in a lack of medical professionals, and subsequently entire populations without access to the healthcare they need.

Lack of Resources
First and foremost, the nations with the fewest physicians are among the poorest in the world. They are poor because they are encumbered by epidemics like HIV/AIDS, natural disasters like drought and famine, and human-imposed catastrophes such as civil conflict and governmental corruption. Uneven economic development results in few financial resources being available to be allocated in the support of an adequate health care system and the workforce required to run it. Further, without money, medical education is hard to obtain. Lack of access to training undermines the availability of medical professionals, especially doctors. Further, even when training is available “brain drain” can become an issue, as prospective doctors in slowly developing countries move to other countries offering better promise for medical professionals’ careers. According to the British Medical Journal, “African countries have lost about $2.6 billion dollars training doctors who are now living in western countries. A staggering 25 to 50 percent of African-born doctors are working overseas.”

Service Disparity
An inequitable distribution of service is endemic within these countries. When millions of people are served by a mere handful of available physicians, it often means that well-paid foreigners, wealthy government officials, and successful business people receive what little medical support is available. On the other hand, local farmers, taxi drivers, or even school teachers will find it much more difficult to affording a doctor’s appointment, given they are even able to obtain one.

The Consequences
Many negative things can happen when people do not have access to a doctor to diagnose what is ailing them. First, treatment becomes a shot in the dark. In desperation, people try any and all manners of reliefs or cures. Great sums of money are borrowed to purchase medicines or hospital stays, where treatment often involves nothing more than compression, bandaging, and poultices. Families whose loved ones die from their illness never know the cause of death. Another possible consequence, still worse than dying for some, is continuing to live in a state of physical infirmity for an indefinite period of time, which often runs the length of life. For example, in some parts of Africa women facing birth complications rarely have access to trained doctors who can perform Caesarean sections. After days of obstructed labor, the mother may suffer the loss of her child, and her birth canal can be seriously damaged by the prolonged pressure and stress. She then becomes permanently incontinent. Access to doctors who can repair obstructed birth injuries is also extremely rare, so such women go on to suffer a lifetime of social isolation and difficulty keeping their bodies sanitary. Other times, unqualified doctors may perform Caesarean sections and other major procedures improperly, often resulting in debilitating injuries or death.

Moving Towards Healthier Futures
Populating the world’s poorest nations with doctors may be achieved through a number of strategies. Organizations like the Medical Education Partnership Initiative support in-country training of doctors. Medical charities, like Mercy Ships, invite local doctors to work alongside volunteer surgical teams to learn and grow their skills. Perhaps the most powerful development tool overall, however, is the growing number of doctors from these countries studying in the developed world, who remain firm in their resolve to return to their homelands and serve those in great need, even at the expense of their own bottom lines.
 
Habari ndio hiyo, kuna mdau anaitwa Barbarosa huwa anahoji sana nini maana ya middle class, nafikiri taratibu ataendelea kupata jibu.
Maana ni vigumu kupata nchi za middle class kwenye orodha kama hii ya nchi zenye madaktari wachache duniani.

Halafu nyingi zipo Afrika jameni, nani katuroga kwenye hili bara. Makosa yetu nini, ni huu weusi wetu au tatizo liko wapi. Hili swali nimeuliza moyo wangu ukiwa na huzuni sana jameni. Wasomi wa Afrika wapo wapi kuinusuru, wote kazi kushobokea vyama na wanasiasa.

Unakuta liinchi lina raslimali nyingi, ardhi kubwa yenye rotuba, madini, vyanzo vya maji kila sehemu, bandari n.k. Lakini litatajwa kwa kila aina ya mapungufu.
 
Hizo takwimu zinaongelea madaktari wa tiba za kizungu, nchi nyingi za Afrika zina wataalamu wa asili ambao wanatoa tiba za magonjwa mbalimbali.
 
Hamna aliyeturoga, kuna tiba nyingi za asili Afrika ambazo wazungu wanazipuuza. Tukumbuke kuwa, utabibu ulikuwepo Afrika kabla ya wazungu kuja.
 
Unamaanisha Dr Mwaka mkuu?
 
Hamna aliyeturoga, kuna tiba nyingi za asili Afrika ambazo wazungu wanazipuuza. Tukumbuke kuwa, utabibu ulikuwepo Afrika kabla ya wazungu kuja.

Haya bwana kilam ndio hawa kwenye hii picha wamejaa Kenya kutokea Tanzania, wanatibu mapenzi, kuwezesha ushindi kwenye kesi mahakamani (wanazijua sheria kama mawakili), wanawezesha wanafunzi wapite mitihani hata bila kutia bidii kenye masomo, wanawezesha Waafrika vijijini wawe matajiri kwa kutafuna nyama ya albino.
Naskia hiyo nyama ya albino inawezesha hata wanasiasa kupata kura nyingi, labda Trump aje Afrika apate ushauri.

Afrika ya laana hadi kuzimu.....

20160428_090134.jpg
 
Hizo takwimu zinaongelea madaktari wa tiba za kizungu, nchi nyingi za Afrika zina wataalamu wa asili ambao wanatoa tiba za magonjwa mbalimbali.

Nimelipenda jibu hili lako!....lina mashiko kiaina.
 
Haya bwana kilam ndio hawa kwenye hii picha wamejaa Kenya kutokea Tanzania, wanatibu mapenzi, kuwezesha ushindi kwenye kesi mahakamani (wanazijua sheria kama mawakili), wanawezesha wanafunzi wapite mitihani hata bila kutia bidii kenye masomo, wanawezesha Waafrika vijijini wawe matajiri kwa kutafuna nyama ya albino.
Naskia hiyo nyama ya albino inawezesha hata wanasiasa kupata kura nyingi, labda Trump aje Afrika apate ushauri.

Afrika ya laana hadi kuzimu.....

20160428_090134.jpg
Unajua ukweli ila unajaribu kupindisha mambo. Bila shaka unajua kuwa kwenye jamii yenu ya Kikuyu kulikuwa na tiba kabla ya wazungu kuleta njia zao. Waafrika tunadharau tiba zetu matokeo yake tunakufa kwa kasi zaidi kuliko mababu wetu.
Halafu, jifunze kutofautisha uchawi na tiba.
 
Tiba zilikuwepo enzi hizo, magonjwa yalikua machache, hayakua complicaed yalivyo siku hizi. Hata hao wazungu kitambo walitumia hayo majani mbugani kama babu zetu.
Lakini kilichotendeka ni kuboresha kwa kutumia elimu. Ni kama tu enzi za zamani Waafrika walitumia ngozi za wanyama kama nguo, ndio hivyo hata wazungu walivyokua wanaishi. Wenzetu walituzidi kwa kuwa wabunifu na kufanya mabadiliko.
Mwafrika bado tupo pale pale, hata reli mzungu katulazimisha tu, hatukuitaka na hatungekua nayo.
Ikuingie kwamba mzungu kuna kipindi aliishi kwa mahangaiko kama mwafrika. Aliwinda chakula, aliokota matunda mbugani, alikula majani mbugani kama tiba, alipigana vita vya kijinga n.k.

Mzungu kwenye suala la tiba alifanya quantification ya chemicals na kuzi package kulingana na uelewa wa ndani. Akazifanyia utafiti wa side effects na kadhalika. Akaingia zaidi hadi kuwa na uwezo wa kufanya upasuaji wa miili yetu na kufanya mambo yake humo ndani na kurudisha kila kitu kama kilivo hadi unatoka hospitalini na kukatiza kitaa.
 
Hayo magonjwa complicated karibia yote yameletwa na wazungu.Mababu wetu waliishi maisha marefu kwa kutumia tiba asilia kuliko sisi kizazi cha kutumia tiba za kizungu. Wewe endelea kutokuamini na kudharau tiba za asili sisi wengine ndio tunaishi nazo hizo.
Upasuaji ulikuwa unafanyika kwenye jamii nyingi za Afrika kabla ya wazungu kuja.

Caesarian births in Uganda go back to pre-colonial days...
 
Wacha kuwa kicheko wewe, upasuaji gani huo jameni....

Tuache uvivu na kiburi cha kijinga na tujiboreshe kielimu na kuwa na mabadiliko ya kweli kwenye nyanja zote zikiwemo utabibu na viwanda. Haya mambo ya Uswahili vijiweni yatatuchelewesha sana.

Waafrika hatutaki kuwa orderly, tunataka kukomba komba tu basi.
Nimeona sehemu shindani la software linafanyika Tanzania na hakuna wahusika wa Kitanzania hata mmoja.
Halafu soko limejengwa la machinga, lenye ubora lakini wote wamerudi barabarani Machinga Complex stands idle as Dar hawkers fill streets

Mabasi mnaletewa ya DART mnakojoa kwenye vituo na kuanza kuangusha kampuni.
 
These are facts that African politicians doesn't want to know and make follow up!
- Some countries like Tanzania have many Doctors running away to other countries for green pasture, politics prevails into technical and professional issues to the extent of scaring away the experts!
This situation will prolong even to worse than it is unless those in power changes the way of handling things!
 
Habari ndio hiyo, kuna mdau anaitwa Barbarosa huwa anahoji sana nini maana ya middle class, nafikiri taratibu ataendelea kupata jibu.
Maana ni vigumu kupata nchi za middle class kwenye orodha kama hii ya nchi zenye madaktari wachache duniani.

Halafu nyingi zipo Afrika jameni, nani katuroga kwenye hili bara. Makosa yetu nini, ni huu weusi wetu au tatizo liko wapi. Hili swali nimeuliza moyo wangu ukiwa na huzuni sana jameni. Wasomi wa Afrika wapo wapi kuinusuru, wote kazi kushobokea vyama na wanasiasa.

Unakuta liinchi lina raslimali nyingi, ardhi kubwa yenye rotuba, madini, vyanzo vya maji kila sehemu, bandari n.k. Lakini litatajwa kwa kila aina ya mapungufu.
Madaktari 30
Hayo magonjwa complicated karibia yote yameletwa na wazungu.Mababu wetu waliishi maisha marefu kwa kutumia tiba asilia kuliko sisi kizazi cha kutumia tiba za kizungu. Wewe endelea kutokuamini na kudharau tiba za asili sisi wengine ndio tunaishi nazo hizo.
Upasuaji ulikuwa unafanyika kwenye jamii nyingi za Afrika kabla ya wazungu kuja.

Caesarian births in Uganda go back to pre-colonial days...

Hawa ni Wakisii...kutoka Kenya

Wacha kuwa kicheko wewe, upasuaji gani huo jameni....

Tuache uvivu na kiburi cha kijinga na tujiboreshe kielimu na kuwa na mabadiliko ya kweli kwenye nyanja zote zikiwemo utabibu na viwanda. Haya mambo ya Uswahili vijiweni yatatuchelewesha sana.

Waafrika hatutaki kuwa orderly, tunataka kukomba komba tu basi.
Nimeona sehemu shindani la software linafanyika Tanzania na hakuna wahusika wa Kitanzania hata mmoja.
Halafu soko limejengwa la machinga, lenye ubora lakini wote wamerudi barabarani Machinga Complex stands idle as Dar hawkers fill streets

Mabasi mnaletewa ya DART mnakojoa kwenye vituo na kuanza kuangusha kampuni.

MK254..hiyo video ni ya kitambo sana..1940 Kisii county.
 
30 Drs per million people, hii ni sawa
30 * 50 = 1500Dr
Kuna tatizo la takwimu sahihi hapa, Tz inazalisha zaidi ya 500Dr kila mwaka sasa kusema ina jumla ya 1500 Dr tu sio sahihi hata kidogo, 1500 Dr ni matokeo ya miaka 3 tu.
 
Back
Top Bottom