Ameandika kwa kimombo kuwakwepa chawa wa mazaTumia kiswahili ofisaaa, Tanzania sio wazungu.
Kwenye point zote hizo nakubaliana na wewe.
Hapo kwenye Maji ndio kabisaa Jiji la Mwanza, sio jiji la kukosa maji kabisa wakati lipo kando kando ya ziwa kubwa Duniani. Sio tu Mwanza, inatakiwa mikoa kama Mara, Kagera, Kigoma, Rukwa, Katavi, Mbeya, na mingineyo inayopakana karibu na maziwa makuu kusiwe na shida ya Maji.
Lakini si tumemuelewa point yake?Ungeandika Kiswahili tu mkuu ungeeleweka kuliko "....there in power for two days...... "
Kuiondoka CCM na mashetani wengineWhat should be done mkuu?
Faza ametusaidia UVCCM wasiingie kwenye uzi maana wangeleta ujinga wao, angalia yule mama anajiita sijui Lucas Mwauchawi hawezi kuingia hapaHeading to the wrong direction ❌
Heading in the wrong direction ✅
Unamaanisha UVCCM hawataelewa na hutawaona humuUkiandika Kwa kingereza unamaanisha nini Kabla hatuanza kujadili ujumbe?
Unamaanisha UVCCM hawataelewa na hutawaona humu
Wanachangia kitu gani wale wapumbavu zaidi ya kupiga mapambio?Kwamba lengo la Mtoa mada ni kuondoa jamu, na kuwanyima Haki wale Wasiojua kingereza kuchangia?