The country is heading to the wrong direction

Attachments

  • 00A9BE6F-DF5A-4A82-8DA9-A5FAEC3111ED.jpeg
    31.4 KB · Views: 1
Wanachangia kitu gani wale wapumbavu zaidi ya kupiga mapambio?

😀😀

Nafikiri unajua maana ya itikadi Mkuu?
Ni kama Imani za Dini.

Je sio Haki MTU kuamini katika kile Akili na moyo wake unavyotaka kuamini?

Wewe ni Mpumbavu Kwa sababu unaamini labda katika Chadema?
 
😀😀

Nafikiri unajua maana ya itikadi Mkuu?
Ni kama Imani za Dini.

Je sio Haki MTU kuamini katika kile Akili na moyo wake unavyotaka kuamini?

Wewe ni Mpumbavu Kwa sababu unaamini labda katika Chadema?
Lazima utangulize masilahi ya nchi, kwanini wewe unaona ni wajinga wanaoamini kwa shetani badala ya MUNGU? UVCCM hawezi kushauri, kukemea maovu, wao ni kupiga mizinga na kusubiri teuzi za kiukoo
 
Lazima utangulize masilahi ya nchi, kwanini wewe unaona ni wajinga wanaoamini kwa shetani badala ya MUNGU? UVCCM hawezi kushauri, kukemea maovu, wao ni kupiga mizinga na kusubiri teuzi za kiukoo

Kenya, Uganda, Ghana, Nigeria, South Africa na nchi zingine zina hao Uvccm Mkuu?

Kama unaamini kuwa tatizo kubwa la nchi Hii ni Uvccm au CCM basi nakushauri ukafanye uchunguzi wako upya.
 
Kenya, Uganda, Ghana, Nigeria, South Africa na nchi zingine zina hao Uvccm Mkuu?

Kama unaamini kuwa tatizo kubwa la nchi Hii ni Uvccm au CCM basi nakushauri ukafanye uchunguzi wako upya.
Kwa akili ako tatizo nini kama siyo sera mbovu na mifumo ya hovyo? watawala wanashindana kumsifia Rais badala ya kutatua shida za wananchi, kama siyo upuuzi ni nini unapandisha per diem kutoka 120,000-250,000 katikati ya umasikini badala ya kubana matumizi wewe unaongeza matumizi.
 
Yote unavyosema ni Sahihi. Lakini kama unaamini CCM au Uvccm ndio tatizo basi unahaja ya kufanya upya uchunguzi wako.

Ndio maana nikakuambia Kenya kuna hao Uvccm? Au hapo Malawi au Congo.
 
Yote unavyosema ni Sahihi. Lakini kama unaamini CCM au Uvccm ndio tatizo basi unahaja ya kufanya upya uchunguzi wako.

Ndio maana nikakuambia Kenya kuna hao Uvccm? Au hapo Malawi au Congo.
Kwa akili ako tatizo nini kama siyo sera mbovu na mifumo ya hovyo? jibu hapo
 
Hamia South Africa au Kenya hakuna shida ya umeme kule mbona
maana yake unaona sawa au unamanisha nn?kiukweli heri tungelikosa umeme kwa sababu zinazoeleweka await Janaury alivyoingia alidai mitambo haina service wakafanya service,tatizo likabaki palepale,wakaja na hoja nyingine hadi rais aka sema tunakosa umeme kwa sababu ya ukaidi wa wanadamu maana yake uharibifu wa mazingira,mvua zikanyesha wakadai miundombinu ni dhaifu wakaja na mpango wa nguzo za zenge na kufanya mabadiliko kwenye miundombinu,leo tena maharage anasema mvua zisipo nyesha tutakuwa na mgao twambieni ni lini umeme umekuwa stable tangu Magufuli aondoke?Mama amewapa wahuni wizara nyeti na anawasikiliza kila wanachosema ndo nchi umeme hautakuwa stable kamwe.
Mama kasema tusubiri miezi 18-20 ndo tunaweza kuwa vizuri.Kwa maelezo haya madogo issue ya umeme Tanzania sio upungufu bali ni madhaifu ya uongozi kuanzia juu hadi huku mawilayani.
 
Soon we are going to get rid of who is actually leading this country.Is Samia the actual one who is leading us or there is gang behind her!
 
I support the thread
 
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…