Ng'wanamangilingili JF-Expert Member Joined Aug 22, 2015 Posts 5,778 Reaction score 4,859 Mar 28, 2023 #1 Kuna kufumaniwa hapa tutapigwa moja bila, mpira tunamiliki ila hatufungi. UG wanatupumulia karibu sana.
Kuna kufumaniwa hapa tutapigwa moja bila, mpira tunamiliki ila hatufungi. UG wanatupumulia karibu sana.
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 70,791 Reaction score 98,334 Mar 28, 2023 #2 Mchawi katika ubora wako Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 52,160 Reaction score 48,974 Mar 28, 2023 #3 Yametimia
mkadiriaji majenzi JF-Expert Member Joined Mar 11, 2023 Posts 260 Reaction score 569 Mar 28, 2023 #4 Ng'wanamangilingili said: Kuna kufumaniwa hapa tutapigwa moja bila, mpira tunamiliki ila hatufungi. UG wanatupumilia karibu sana Click to expand... Na imekuwa kweli
Ng'wanamangilingili said: Kuna kufumaniwa hapa tutapigwa moja bila, mpira tunamiliki ila hatufungi. UG wanatupumilia karibu sana Click to expand... Na imekuwa kweli
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Mar 28, 2023 #5 Ng'wanamangilingili said: Kuna kufumaniwa hapa tutapigwa moja bila, mpira tunamiliki ila hatufungi. UG wanatupumulia karibu sana. Click to expand... [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ng'wanamangilingili said: Kuna kufumaniwa hapa tutapigwa moja bila, mpira tunamiliki ila hatufungi. UG wanatupumulia karibu sana. Click to expand... [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ng'wanamangilingili JF-Expert Member Joined Aug 22, 2015 Posts 5,778 Reaction score 4,859 Mar 29, 2023 Thread starter #6 HIMARS said: Mchawi katika ubora wako Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app Click to expand... Sio uchawi wala tawile ndugu ni mpira tu unaonekana unavyopigwa kabla na wakati wa mechi. Sie tuwekeze tu katika propaganda
HIMARS said: Mchawi katika ubora wako Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app Click to expand... Sio uchawi wala tawile ndugu ni mpira tu unaonekana unavyopigwa kabla na wakati wa mechi. Sie tuwekeze tu katika propaganda