80% Ya habari humu JF ni link. Prove me wrongThreads zingine ni zaki..mbaf sana....[emoji16]
Sasa hapo ndio umeandika nini....[emoji52] [emoji52]
Tangulini link inaka ni habari.... [emoji45] [emoji45] [emoji45]
Wamekuja kumwaga pesa hapo. Hunting inalipewa pesa ndefu kwenye mbugaHapo ni Loliondo?
Exactly ni wapi siwezi juaHapo ni Loliondo?
Always taking the negative side. Sio kipindi hiki cha MagufuliMaskini Twiga wetu watapanda ndege kwa mara nyingine tena!
Ahsante. Kwa taarifa nilizo nazo nikuwa hotel zote Arusha zipo overbookedUpuuzi
Atajulia wapi.. muulize kuhusu watoto wa Diamond ata kutajia mpaka shule wanazo somaAhsante. Kwa taarifa nilizo nazo nikuwa hotel zote Arusha zipo overbooked
Kwa kuwa yeye ni Malaika!...kwamba haya hayawezekanimi bila yeye kujua?Always taking the negative side. Sio kipindi hiki cha Magufuli