The Daily Nation(Kenya): Like others, Tanzania's Magufuli is bound to fail

Siyo Uingereza pekee, ni mataifa yote ya magharibi, wao wamejiweka katika hali fulani ya kujikweza dhidi ya mataifa mengine.

Wanaamini wana haki ya kusimamia na kukosoa mataifa mengine bila ya wao kuingiliwa.
Ni kweli mkuu. Lakini cha zaidi ni kuwa haya mataifa ya magharibi, hasa USA na Uingereza hawana DEMOCRACY. Wanapita kila mahala eti wanasambaza demokrasia wakati kwao haipo. Nitafurahi kufafanua kama kuna anaepinga.
 
Mweeee... ndo nimeingia hili jukwaa leo toka nijiunge JF na kukutana na hii mada. Si kwa wazungu wa reli humu aisee. Niliposoma points za profesa wa Oxford nikasema "yees"; nikasoma za waliomuunga mkono nikasema "yees"; niliposoma za waliompinga nikasema "yees". Kila point yes yes yes. Kama siyo ukichaa huo ni nini? Acha nikajipange nirudi au niendelee kubaki kule kwa kina mondi na wema sepetu. Ila nimepata mawili matatu. Prons and cons sijui wanaita wenyewe?
 

Mkuu The Boss nimeisoma hii taarifa na nina machache ya kusema. Nimeinukuu article yote hapa chini na kuijibu. Nimeona kwa njia hii maoni yangu yatakwenda sambamba na taarifa ya huyu mwandishi Fabricius. Nakubaliana nae sehemu fulani na nampinga sehemu nyingine. Asante kwa kutuletea hii article.



Magufuli may have been relatively unknown to the outside world but was very popular in Tanzania as he had been in government for over 20 years prior to his being elected president. Please do not generalize your ignorance of the characters of our leaders. What is important is whether or not Magufuli was known to Tanzanians prior to elections.


I think this is commendable by any measure. This is the first compliment of the article.


The second compliment of the article.


He is touching the corruption kingpins of the country, most of them from the ruling party. These kinds of action do not win you friends. We are going to see more of these complaints before the dust settles.


Here I agree that free speech (not gratuitous insults) should be protected in Tanzania. A tweet here or a tweet there does not tell the whole story. Fabricius says "The ‘insults,’ at least by South African standards, were remarkably mild..." But they were insults all the same. You cannot say I only stole Tsh. 100, and that this is not theft! Wrong. Stealing is stealing, just as insults are insults, mild or harsh.

I think there should be a meaningful dialog in Tanzania about the limits and extents of free speech. USA can insult their president and they are protected by their constitution as part of freedom of speech. This is not the case in the Constitution of Tanzania. We need to discuss if those accused of cyber-crimes really did break the law or not. Do not use standards of other countries to judge actions taken in Tanzania.

I think Magufuli is charting a new way of governance and discipline. We definitely need to discuss, as a country, current presidential powers and what citizens can say or do. Kikwete was very lax and diplomatic. That was him, this is Magufuli now. It would be nice to take the government to court if what they did with the alleged perpetrators cyber-crime was extrajudicial. Short of that, I say let the law take its course.


I already responded to this criticism in Prof. Cheeseman’s article earlier. In short, I would very much like the opposition parties to freely engage the public to present their vision of what they would like Tanzania to go. However, UKUTA was a false start for the opposition. That was a countrywide mass mobilization to oppose Magufuli’s government. This is called ANARCHY not DEMOCRACY, and I ask the writer of this article if South Africa’s government (from where he operates, or any other so called developed country in the world) would allow opposition parties to ferment anarchy in their countries.


This is nonsense.

There is nothing wrong for Magufuli to adopt good practices from Kagame and leave out the bad ones.

Foreign investors were used to operate freely and rip off the countries resources – basically plundering our natural resources because of corrupt government officials. People used to ship containers full of sand from gold mines unchecked. Our live animals were being airlifted out of the country in broad daylight. There were and still are many such atrocities, like the recent nabbing of Ivory thieves. When Magufuli seals these loopholes it makes unscrupulous foreign investors unhappy. If they want to do business in Tanzania let them follow the laws. No more plunders.


Can you elaborate this political rather than an economic agenda?

Meanwhile, Magufuli is increasingly centralising decisions in his office, even as that office remains largely inaccessible to entreaties by business people for clarification or softening of policies.

This accessibility, you speak of, used to be the sources of corruption – access to IKULU, that is.


EPA agreement was a trap by EU countries to control the economies of East African Community (EAC). This was elaborated very well by Prof. Horace Campbell elsewhere here in JF. Kenya was in the take for this EPA because of the European business people running the flower marked in Kenya. EPA was not good for Tanzania and it is not good for the other EAC countries either.


Yes Mr. Fabricius, the jury is still out for president Magufuli. The man just took office. Give him a chance. The people and institutions that are criticizing him have a bone of contention to pick with his style of leadership. Most of them are doing so because the loopholes that existed in the past administrations have now been sealed. These loopholes allowed them either to steal from government coffers or plunder the country’s natural resources.

For me, the prognosis looks very good for Tanzania under Magufuli’s rule. Come back here in 2020 or 2025 and we will do a postmortem of his rule. For now, just hush.
 
Spot on BRO!Ila design flan style yao inafanana
 
The Pumbaz of rice
 
Spot on!
 
Time is a very good speaker. It will tell us the truth
 
Source of what? The info? It's right there.....Prof Nic Cheeseman from Oxford University wrote the article!
A Professor is saying that Magufuli is a populist president. And like others in Africa is bound to fail. But it is very sad for a professor caliber to write without giving evidence. For example, who was/is a populist president and has failed?
 
A Professor is saying that Magufuli is a populist president. And like others in Africa is bound to fail. But it is very sad for a professor caliber to write without giving evidence. For example, who was/is a populist president and has failed?
Yaani mpaka sasa hujaamini kuwa huyu Prof yupo sahihi??
Pole!
 
Unfortunately for you, Tanzania will triumph through Magufuli regardless of your negative wishes! May God give you a long life to witness our new Tanzania in next 8 years and reflect back to you speculations with shame!
 
Baada ya uchaguzi wa 2015 Magufuri nyota yake ilikuwa imetakata pasipo mfano na ikafika kipindi wananchi na wasomi mbalimbali wakaanza kumfananisha na Julius Nyerere kwa mambo aliyokuwa alikiyafanya mwanzoni mwa kipindi chake. Ki ukweli alikuwa akifanya mambo mazuri na mtu yoyote yule ata mpinzani alikuwa anaungananaye kuna baadhi ya watu ikafikia kipindi wanasema wanajutia kwanini hawamkumpa kura JPM, kwani alifanya vitu ambavyo Jakaya Kikwete hakuweza kuvifanya, haya yote sasa ivi yanaonekana ni sifuri na wananchi wengi waliokuwa wanamsapoti wanampinga kwa kauli na matendo yake, sababu ambazo zinafanya JPM Kuonekana kushuka ni kama zifuatazo

1. anaona kwa nafasi yake anaweza kufanya kila kitu na watu(viongozi na wananchi) wakafanya anavyotaka kitu ambacho sio sahihi
2. anaona haitaji msaada kwa watu waliochini yake kwa sababu yeye ndio boss wa nchi
3. anazani kuongoza ni kutoa kauli za vitisho na ukali kwa wananchi na viongozi wa chini kitu ambacho sio sahihi
4. kufikiri chama pinzani ni adui wa maendendeleo ya nchi na CCM ndio chama pekee kinachostaili kuongoza na kutawala
haya ni machahce yanayo muangusha JPM
5. kushindwa kusikiliza ushauri wa watu ambao kawateuwa na kuegemea upande mmoja katika maamuzi

kwa upeo wangu mdogo naona kama hataweza kurekebisha mambo haya atakuja kubaki peke yake na watu wake wachache kitu ambacho kitaweza kufanya akaweka historia ya kutawala muhula mmoja endapo hataweza kutumia nguvu kurudi madarakani

my take: JPM badilika unakoelekea sio sahihi mawaziri sasa hivi hawawezi kukushauri ushauri ambao ni sahihi bali wanashauri kitu ambacho wewe unakuwa unataka ili usiwatumbue pia hii nchi sio ya mtu mmoja ni ya watanzania na wewe ni mwajiriwa wa watanzania na watanzania ndio mabosi wako kauli zako tafadhali uwe unazitafakali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…