The Daily Nation(Kenya): Like others, Tanzania's Magufuli is bound to fail

Nafikiri tabia ya Mtu haibadiriki mara moja, tunastahili kumjuza kuwa Nchi ni ya kwetu wote nae ni Kiongozi tuliye mchagua atuongoze.

Jana nilipata shida sana kuamini kuwa kauli ya kuvitishavyombo vya habari kuwa imetoka mdomoni mwake.

Mungu tupe subira Watanzania ili shida iliyopo mbele yetu iweze kutuondokea.
 
Ccm sasa hivi ipo ki team zaidi endelea kuota
 
Mkuu umechanganua vizuri kiasi chake lakini subiria matusi na kuzodolewa kutoka kwa wanazi na misukule ya ccm.

Mbaya zaidi utaishia kuitwa mpiga dili au muuza ngada.
 
He's already failed miserably.
 
He's already failed miserably.
 
Mfyuu zenu kwani aliye faulu nani
Matanzagiza utayajua
 
Nafasi ya kazi imetangazwa. Km kuna msukuma mwenye PhD ya utalii na wanyama pori. Maghembevanastaafu tar. 30 aprili this yr.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…