The Daily Nation(Kenya): Like others, Tanzania's Magufuli is bound to fail

kwahiyo tunafurahia akishindwa?kwani akifail si imefail Tanzania?

Halafu mbona tunashadadia Hili Gazeti kama kaongea Mungu?

aisee aliyetuloga kafa.............................
 
Tanzania tuna vipaumbele vyetu na sisi ndio tutakaosema kama Rais atafeli ama la! Hao mabwana zenu ambao kila siku mnawakumbatia subirini utawala wa UKAWA ndipo muwape hicho wanachohitaji.
Kenyans are not happy with magufuli's presidency ,we Tanzanian need to distance from media propaganda based in kenya
 
Huyo mzungu aliyendika kwenye gazeti la Kenya anaweza kueleza Singapore ilianzaje?
 
Toka lini watu weupe( mzungu) wakata watu weusi wawezi kujiletea maendeleo yao wenyewe ?kwanza watu weusi laxima tuelewi jambo moja ukiona mtu mweupe (mzungu) anakusifia sn ujue upo karibu kuangaka
 
Nawashangaa hawa the Mburulaz wanakazana kuwakumbatia wakuja ilhali kiongozi shupavu tunaye
HUWEZI KUWALETEA WANANCHI MAENDELEO BILA KUFUATA YA FUATAYO, Kuwe na THE REAL RULE OF LAW, DEMOCRASIA YA KWELI, HUMAN RIGHTS NA CHECK AND BALANCE.
kwa matamko ya MUNGU MTU hatutafika kokote
 
Mkuu hiyo "jumuiya ya kimataifa" unayoizungumzia ni ipi, au ni huyo mwandishi hapo juu
Mwandishi amefanya reference ya watu mbalimbali na kutoka taasisi mbalimbali, ambao kimsingi huzifanya hizo jumuiya za kimataifa!
 
Zanzibar is an intractable problem! The Only solution is to free Zanzibar. Ukoloni wa Mtanganyika Zanzibar haukubaliki leo hadi kiama.
 

Duude, msome tena mwandishi.
 
mbona Watanzania walishajuwa hana lolote ni nguvu ya soda toka day one he has no intention to improve the national economy democracy nor development he is a typical one man show
 
HUWEZI KUWALETEA WANANCHI MAENDELEO BILA KUFUATA YA FUATAYO, Kuwe na THE REAL RULE OF LAW, DEMOCRASIA YA KWELI, HUMAN RIGHTS NA CHECK AND BALANCE.
kwa matamko ya MUNGU MTU hatutafika kokote
hahahahaaa kweli mkuu
 
..."it is clear that the president is no democrat."...

Nimenukuu tu kiliandikwa kwenye taarifa. Hivi hili gazeti haliogopi kufungiwa?

Wameenda mbali na kusema " Like others, ... is bound to fail" yaani kama wameona kuwa ameshafikia wanachokitazamia.

Sorry!
 
We are going to prove them wrong. Mark my words, wait and see..!
 
Sihitaji kuutumia huu uchambuzi murua kusema kwamba ze mtukufu nchi imemshinda. Nilijua toka kitambo jamaa ni hoi.

Anakata kona tu na rivasi. Hatuendi kokote.
 
Sihitaji kuutumia huu uchambuzi murua kusema kwamba ze mtukufu nchi imemshinda. Nilijua toka kitambo jamaa ni hoi.

Anakata kona tu na rivasi. Hatuendi kokote.
wakubwa wa dunia wamem study,washapata jibu

nchi za wenzetu wana vitengo vya kufanya analysis na kushauri,ndio maana hawahangaiki naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…