The dark side of business

Unathibitisha vipi hao waganga walipata hayo mashamba na mifugo kwa njia ya uganga?
Wako na wateja wengi,tena kuna wateja wakifanikiwa mambo yao wanawaomba waganga wawajengee nyumba kama shukuran
Simfagilii, ila msikilize huyu hapa akijieleza mwenyewe..

View: https://youtu.be/e4InVI3bOGQ?si=p9GZ-k6SOhPXAmRu
 
Uzi umekuwa mkubwa mno kama Msahafu, na bado unasonga..

Ingependeza kama miendelezo yote ungei tag pale mwanzo wa uzi, msomaji ana click tu na kupata the next episode popote ilipo
Tayari nimeweka episode zote pale kwenye post ya kwanza...kuna ep 1,2,3,4,5,6,7,8,9....nikitupia nyingine itakuwa ep 10,nitairusha pia hapo kwny post ya kwanza.
 
Nimeitafuta hiyo clip hakika akiiona na yeye ataacha ubishi.

Pia nina wasiwasi huenda yeye ndiye mwamba upande huo ila hataki wengine wapate ABC's ya ulimwengu huo wa giza.
Duh,
Nimeona hiyo clip.
Halafu kuna watu hudhani Waafrika pekee ndo wana hayo mambo, kumbe hao weupe huyafanya wazi wazi hadharani.

View: https://youtu.be/eAtLfFo_KaY?si=UCuseL5Fb3jvY1MyInfropreneur
mshamba_hachekwi
 
Kweli nimekosea mkuu.
Tusameheane tu aisee
Tanzanian Dream zile zilikuwa alosto za stori tuπŸ™
 
Okay
 
Huyu jamaa anayebisha kama sio mlokole basi atakuwa msabato 😁😁😁😁😁😁😁
 
Sasa vichwa vya ng'ombe kuwekwa juu ya meza, vitu walivyochoma moto ni mila, desturi au tamaduni zao tu.

Si kwamba eti kufanya hivyo ndio kutasaidia kiwanda kifanye kazi kwa ufanisi au kwamba kiwanda ndio kizalishe sana.

Hapana.
 
Huyu jamaa anayebisha kama sio mlokole basi atakuwa msabato 😁😁😁😁😁😁😁
Mimi siamini kwenye kuamini.

Sina imani ya dini yeyote ile.

Sina imani ya Mungu wala Miungu.

Sina imani ya Shetani, majini, mapepo, mizimu, wachawi.

Sihitaji kuamini, Nahitaji kujua kwa uhakika, ushahidi na uthibitisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…