The dark side of business

Mtu anatumia utajiri wa kafara ana gari ya M25, ana nyumba moja ya 70M 😂😂😂 hii ndio Africa aiseee, husikii fulan karoga ana kiwanda kikubwa zaidi cha dawa Africa, au ana ranch kubwa zaidi ya ng'ombe Tz,

Ni karoga ana frame ya nguo mbagala,
Karoga ana duka moja la simu na kamtoa kafala mama ake 😂
 
Sio kila mtu anapaswa kutoa kafara ili afanikiwe mkuu, ndo maana kuna light and dark side as well.
Kuna mwingine anaenda kwa mganga kutafuta dawa anaambiwa kuwa kwao (asili yao) sio watu wa madawa so hata akitumia dawa hatofanikiwa na hii ni mpaka umpate mganga wa kweli, so mtu huyu anapaswa kubaki kwenye light side
 
Kwan mganga wa kweli yupo je ndugu?
 
Kwan mganga wa kweli yupo je ndugu?
Yaani anakuwa muwazi kwako kama jambo litafanikiwa au lah
Kwa mfano wewe kama ni mgonjwa umeenda kwake kutibiwa na anajua hawezi kukutibu anakwambia yeye hawezi utafute mganga mwingine. Na mganga tapeli atataka tu kula hela zako na ilihali hawezi kutatua shida yako.
 
Unapatikana mkoa gani ndugu, kuna nesi/ mkunga mzoefu hapo Dar anaweza tatua shida yako.
 
Nitakua hapa kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…