Sidhani kama tangazo linaeleweka. . . . Too complicated au mi kilaza??!!
Mnaweza kulifanya lisomeke kirahisi sana likawa linaeleweka kirahisi kuliko lilivyo
Sio wooote wenye mapenzi na.hii sekta wanajua kiingereza
Maonesho makubwa ya miliki ardhi (Real Estate) na wadau wake ya DarProperty Expo yanakuja. Utapata nafasi ya kukutana na wadau mbalimbali wa miliki ardhi. Njoo ujionee ukuaji wa sekta hii Tanzania na upate ushauri bure. Kujua zaidi kuhusu DarProperty Expo tafadhali nenda The DarProperty Expo 2014