The DaVinc code by Dan brown; Part 1

Mbona umepotea kimoja
 
Itaendelea lini
 
Sijui sana haya mambo lakini moja ya picha za da vinci ile ya last supper iliwahi kutafsiriwa hapa jukwaani.
Wadau walidai kwamba moja ya wale wanafubzi wa yesu ambaaye anaonekana yupo karibu na Yesu na hana ndevu ni maria magdalena. Na wakaebda mbali zaidi na kusema kwamba Yesu alikuwa akimyandua. Na walikuwa wapenzi.

Katika watu ambao nilishindwa kuwashangaa na kubaki kinywa wazi ni aliyekuwa padri Privatus Karugendo wa kanisa katoliki ambaye baadae alifukuzwa kutokana na aina ya mafundisho yake. Aliamini pia huu upuuzi.
Nina uhakika kwa % nyingi hata mleta mada ndio anakoelekea.
Tusubiri na tuone.
 
Dah kashfa mbaya sana hizo kwa mteule wa Mungu
Ngoja tusubiri
 
Hahahahaha.. umepita mule mule hasa mstari wa mwisho
 
Hii story mwishoni kabis wasimuliaji watagusia na upotezwaji wa kitabu cha injiri ya Yuda... Kina historia ya yesu na wanafunzi wake hasa huyo ambaye Hana ndevu


Sent from my A004SH using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…