Wana JF,
Ni muda sasa nimekuwa nikiona matangazo ya kazi hasa ya serikali na taasisi zake yakiwa na deadline inayosema
" The deadline is two weeks from first appearance of the advertisement".
Je, kuna ugumu gani wa kuandika/kutaja tarehe halisi?
Mara nyingine matangazo hutolewa zaidi ya tarehe moja kwenye magazeti, je, hawaoni kuwa ni kuwachanganya wanaoomba kazi?
Je, haya matangazo wanapoyaweka kwenye websites zao bila la kuonyesha first date of advertisement hawaoni kuwa ni kuwachanganya waombaji?
Nawasilisha!