REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
Dying out of hunger is not the environment faults but consequences of weak mindset
Turkana na Singida na Dodoma are sharing almost the same weather conditions, lakini ni kwanini magari mengi ya Kenya yapo Kibaigwa Dodoma kusomba mahindi na alizeti?
Kwanini Dodoma kuna miti mingi kuliko Nairobi? Kwanini Dodoma hatusikii wanyama wanakufa kwa njaa kama Wajiir? Kwanini Singida husikii watu wakifa kwa njaa kama Pokot?
Nimekuja kujua kumbe ni mindset tu ya wananchi na viongozi wa maeneo haya mawili
Ni kwamba Singida chini ya JPM mkoa wamepanda hekari 15,000 za miti ya mikorosho, huku Dodoma ikipanda hekari 30,000 za mikorosho...
Guess what? ๐๐๐๐๐
Wakenya kubalini mna akili finyu sana yaishe.
Hii miti hybrid imekua kwa mwaka 1.5 wakati traditionally ni miaka 3 - 5, harvests from hybrids ni 100 KG of cashews while the traditional is 20 KG, hybrid fruiting twice a year while traditional it's just once.
Fact, Singida and Dodoma gonna double the total cashews productivity of the country
Max Tanzania produce 500,000 metric tonnes.