Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,921
Leo saa 4 usiku katika usiku wa mabingwa ulaya pale machinjioni, camp nou.. ndio siku ya kuprove hili janga la drake.
Jana roma wamewakataza wachezaji wao kupiga picha na msanii drake.. Leo mchezaji wa man amepiga picha na drake...
Kwa sasa katika ulimwengu wa soka inaaminika mchezaji yoyote akipiga picha ya pamoja na DRAKE, basi mechi inayofuata wanafungwa na wapinzani..
Picha lilianza na mchezaji wa bayern..
Ikafwatiwa na aubamiyang wa arsenal
Aguero na man City yakewakafwatiwa
Akaja kurzawa wa psg, walichezea kichapo cha goli 5.
Sasa ni lukaku wa man u. Inaylcheza usiku huu.
Will man u break the "Drake" curse??
Tukutane saa 4... Mjini camp nuo (machinjioni)
[emoji23][emoji23][emoji23]