Hayo ni mawazo ya kanisa katoliki zamani ila yalipinduliwa na " Copernicous revolution" huamini jua linaning'inia angani? Dunia nayo inaning' inia ikiwa duara na kujizungusha katika mhimili wake na kulizunguka jua . Kwenye gari gari likitembea si unabaki kwenye kiti chako? Na speed ya duni mambo ni hayo hayo!