Penda kujisomea na kusikiliza taarifa zinazofaa na kukuelimisha na zaidi ya hapo kila kitu kina pande mbili kama sarafu head or tail au kushoto na kulia, au ubaya na uzuri wa kitu, au compare and contrast , halafu tafakari hizo taarifa na kukupa a sensible meaning of those information .