The Embassy of Ukraine in Nigeria says Nigerians who are willing to travel to Ukraine to fight Russian forces must be willing to provide $1,000

Kabisa jicho la mnigeria siku zote ni kali anajifanya kaenda kupigana then ataondoka kama mkimbizi kuelekea uingereza au ujermani tayari lengo linatimia na ndio maana wamekaziwa hapo kimtindo kuwekewa dola 1000
I don’t trust Chinese and Russia
 
When were you appointed to be the spokesperson of the volunteers who wish to fight for the Ukrainian side??
 
Mitanzania ni ya hovyo sana
 
Ukraine embassy Tanzania mbona wapo kimya.

Fursa zitolewe tukamng'oe Fashisti Nduli Putin.
Tulimuweza Iddi Amin Putin hawezi kutushinda
 
Nigerians are soooo fucke*d
 
Wanigeria Ni wajanja Sana.. washagundua hii Ni njia ya kufika west mtoni siku chache zijazo Vita iishapo
 
Ukraine embassy Tanzania mbona wapo kimya.

Fursa zitolewe tukamng'oe Fashisti Nduli Putin.
Tulimuweza Iddi Amin Putin hawezi kutushinda
Watu mnakimbia maji ya upupu vita na Russia ndio mtaweza. It's very funny. 😊😊😊
 
wazee wa fursa
 
Wawe makini sana na hao naijaz maana wapo after money [emoji389], hivyo wanaweza wasaliti Ukrainians soldiers na kutoa taarifa kwa jeshi la Putin kwa ahad ya pesa.
 
Uraia wa Ukraine utakua na issue gani wakati nchi imeshaharibika kiuchumi?!
Labda useme wapewe uraia wa Ulaya Magharibi
Pesa za kujenga upya nchi kibao zitatoka Urusi kulipia fidia ya uharibifu na zingine zitatoka nyingi nchi za Magharibi kama misaada

Ukraine itaingizwa jumuiya ya Ulaya.Lakini hata isipoingizwa status ya waliopigana vita itakuwa juu sana hawataishi maisha ya chini
 
Ni njaa na shida ndio zinazowasumbua..BTW, they don't know if they will return to their homeland (alive) [emoji28][emoji28][emoji28]
Good Life is higher kwa risk takers

Uoga wa ku take Risk ni moja ya chanzo cha umaskini Tanzania hasa kwa waswahili ngozi nyeusi .
 
Hahaha
 

Hiyo siyo njaa bali hulka na tamaa
Imagine mtu anauwa Albino kisa eti apate utajiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…