Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini taa ya aina hiyo?
Pich zilipigwa kwa kamera, ya kale ni ya 1826, nisipokosei. Hapa Abushiri mnamo 1888 . Ilipigwa Pangani, nafikiri.... hivi 1933 tayari duniani huko camera zipo? Why did it take so long kufika Tanganyika? Au ndio mambo ya globalization by then hayakuwepo na vitu kama hivyo (camera) vilikuwa "siri" au nyara za taifa?
... shukrani Mkuu; umezidi kunogesha mnakasha!Pich zilipigwa kwa kamera, ya kale ni ya 1826, nisipokosei. Hapa Abushiri mnamo 1888 . Ilipigwa Pangani, nafikiri.![]()
Picha ya mjini Paris 1838![]()