The Emir of Katsina, Muhammadu Dikko and his entourage admire the traffic lights at Hyde Park in London, 1933

... hivi 1933 tayari duniani huko camera zipo? Why did it take so long kufika Tanganyika? Au ndio mambo ya globalization by then hayakuwepo na vitu kama hivyo (camera) vilikuwa "siri" au nyara za taifa?
 
Pich zilipigwa kwa kamera, ya kale ni ya 1826, nisipokosei. Hapa Abushiri mnamo 1888 . Ilipigwa Pangani, nafikiri.

Picha ya mjini Paris 1838
 
... shukrani Mkuu; umezidi kunogesha mnakasha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…