The Equalizer 3 ya Denzel Washington ndani ya nyumba

The Equalizer 3 ya Denzel Washington ndani ya nyumba

Mtukutu Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2022
Posts
1,117
Reaction score
1,403
Yes kama kawa kama kawaidas Denzel Washington ndani ya nyumba [emoji91]

Huyu mzee ni balaa haswa mara ya kwanza nilipomuona kwenye The book of Eli nikasema Huyu jamaa fundi alafu anajua na anajua Tena

Tukumbuke the equalizer zipo tatu na hii ya tatu imetoka mwaka huu Tarehe 30 mwezi wa 9 Huko Italy

Movie ipo chini ya director antonie fuqua

Inshort jamaa ni mtu anayepambania haki Kwa Njia zake mwenyewe mpaka haki ipatikane.

Sitaki kuweka story ila naipa rate 9/10

Mission impossible 7 next

View attachment 2772522
 
Back
Top Bottom