Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 3,114
- 6,309
Tuwasubiri waliotoboa biashara
Uzi mzuri sana Kwa bahati mbaya wachangiaji hawapo
nauzoefu na hali zoteSijui Leo wachangiaji wameelekea wapi?
mawazo yote ni faida tu niliwekeza kwenye dagaa nikapotea kama upepoWakuu, kwema?
Kwenye hii mitaa ya utafutaji, kuna mambo mawili huwa hayakosekani Mchongo uliomnyanyua mtu kimaisha na Mchongo uliomfanya mtu afe na tai shingoni.
Unakuta mtu alianza na Milioni 1 tu mwingine ikamzalia Milioni 10, lakini mwingine hiyo hiyo Milioni 1 ikatumbukia shimoni na ikawa mwanzo wa msongo wa mawazo.
Nataka tuwekane wazi hapa bila kuficha kitu:
1. Kwa wale waliofanikiwa: Ni biashara, ujuzi, au mchongo gani halisi ulikufanya uanze kuona matunda ya utafutaji wako?
2. Kwa wale waliokwama: Ni wazo gani lilikaa vizuri sana kichwani, lakini ulipoweka hela tu mambo yakakata na ukapoteza mtaji?
Shusha uzoefu wako halisi hapa chini. Unachokiona kidogo kwako kinaweza kuwa mwongozo au taadhari kubwa sana kwa mwenzako anayejitafuta leo.
mawazo yote ni faida tu niliwekeza kwenye dagaa nikapotea kama upepo
nilikuwa natoa kanda ya ziwa napeleka mbeya faida ipo ya kutosha maana kule mboga za shida sanaVp, ulikuwa eneo gani mkuu maana kuna jamaa aliwahi kutusimulia alikuwa analaza around 100M TSH in sales kupitia dagaa tu.
nilikuwa natoa kanda ya ziwa napeleka mbeya faida ipo ya kutosha maana kule mboga za shida sana
biashara kwa mbeya ni ngumu hasa mjini niliwaza nikatafuta eneo lenye uhitaji mkubwa maana walikuwa wanaenda mbeya mjini, uyole kuchukua mahitaji nikawasogezea maana wengi wao wanalikuwa wanapeleka kwenye makambi hata kama ni wateja 10 wanachukua mzingo mkubwaAise, vp Mbeya huwa napaona pagumu mno kibiashara ulikuwa unafanya vp business kwenye such mkoa?
I hope ulikuwa kwenye maeneo ya kabwe, mjini au uyole
Shukran..vibal vipi vinahitajika na bei gani??Microfinance business a.k.a kausha damu. Hii biashara mwanzoni naambiwa niwekeze nikaona kama inatisha sana lakini nikajitosa aiseee unapata hela za chap saana cha muhimu hakikisha una vibali halali na utafute vijana wa kazi sio mabishoo
Vibali kama unataka vyako ni gharama unatakiwa uwe na mill 20 kwenye akaunt yako na ukaeleze BOT umeipataje Kuna process kibao ila sisi tunaingia ubia na mtu alienacho kibali unatumia chake Kwa malipo mtayokubalianaShukran..vibal vipi vinahitajika na bei gani??