The facts: Why Kenya and Tanzania need each other


Tanzania hatuihitaji Kenya, bali Kenya na nchi zote za East Africa zinahiitaji Tanzania
 
Lets talk about this $5.25B you exported. Does all of this goods manufactured,mined or even cultivated in Kenya? Is any % imported from Tanzania? What if we go change our trade targets and burn those Kenyan coin middleman from our country ?will your #% keep on rising?
 
Kenya mma cook data ili msiitwe LDC, shame!

we Tanzanians accept the reality and fight it.

we are not cowards
even if the data is cooked, we are not on the same level...tz is LDC of a lower class...
 
Tanzania hatuihitaji Kenya, bali Kenya na nchi zote za East Africa zinahiitaji Tanzania


Huu ndio wimbo mliokaririshwa, tatizo nyie mkikariri mnakomaa mpaka basi, huwa hamujiongezi kimawazo. Soma taarifa zilizoletwa humu, tatizo Kingereza huwa kinawatatiza hivyo utakua hata hauna habari nini tunaongea kuhusu humu. Tanzania haipo hata kwenye tano bora ya mataifa ambayo tunategemea kuwauzia bidhaa zetu, ilishapitwa zamani sana na mataifa mengine ambayo yamechukua hiyo nafasi.

Kwa kifupi nchi hizi mbili zinategemeana, hivyo tabia za kutunishiana misuli ni ujinga tu.
 

Wewe ndio unakariri kaaka, au na wewe Kiingereza hujui?,
Sasa kama Tanzania haipo kwenye tano Bora zenu iweje Kenya na Tanzania Zitegemeane? Ndio maana nikasema Tanzania haiitaji Kenya kwa lolote kwa sababu hatuko kwenye hizo tano bora zenu
 
The one thing kenyans should pray very hard is for Tanzania to fail in its industrialisation drive. A country with more than 900000 Sq meter and a population of 50+ million is a market nobody would want to lose.

Sent using Jamii Forums mobile app
Israel
Belgium
Chile
New Zealand
Tunisia
Portugal
South Korea (is the same size as Turkana County in Kenya)
Japan is as big as Kenya
Lol if you think size matters am sorry

Sent using Jamii Forums mobile app
 
even if the data is cooked, we are not on the same level...tz is LDC of a lower class...
Tz is LDC but we don't have food insecurity.
sasa sijui nyie wenzetu vipi huko?

kaeni na mentality zenu hizo, sie tunasonga mbele huku kwa speed ya light
 
sasa mnajilinganisha na israel kweli?

israel anapokea massive aids from USA, sio mwenzenu. nyie mtakula majani mwisho wa siku na propaganda zenu hizo.
We all need each other, lakini pia uhusiano wetu ukiendelea hivi....baada ya 1977 tulihitajiana kwa lipi?

Helo, Ethiopia. Heloo Somalia. Heloo SSudan. Heloo!!!

We can do without Tanzania.
 
Tz is LDC but we don't have food insecurity.
sasa sijui nyie wenzetu vipi huko?

kaeni na mentality zenu hizo, sie tunasonga mbele huku kwa speed ya light



Nchi isiyoweza kuwalisha karibu asilimia 80% ya wananchi wake ati mnasema mko food secure. Wi rach!
 
When it comes to Tanzania, Kenya is flexing a muscle it dont have!
Now Kenya is watching in disbelief what Tanzania is capable of... πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
With its inflated GDP figures and rented air crafts, Kenyans have been deceived that they are better off than Tanzanians and they think they can play a game which Tanzania cant but now they are rewarded with a total shock!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…