Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,264
- 678
serikali ya kikwete inavyofanya sio vizuri...kuamua kujenga chuo dodoma ...haikumaanisha tuuwe chuo chetu kinachotambulika duniani cha dar es salaam......kote wanasoma watoto wetu ....kuwabagua UDSM kwa sababu mtu wanafunzi wa UDSM wanamwambia ukweli na kugoma sio halali...
Phillemon Mikael:
Point ya kuwa UDSM ni chuo kinachotambuliwa duniani ni finyu sana. Na kama kinatambuliwa duniani basi kingeweza ku-attact wanafunzi kutoka nchi zingine ambao wangeweza kulipa gharama.
UDSM is spoiled. Kuna kipindi walikuwa hawatambui diploma kutoka vyuo vingine. Na kitu kitachosaidia UDSM sio serikali kuongeza matumizi ya chuo hicho, bali kuwa na upinzani kutoka vyuo vingine.
Chuo Kikuu cha CCM Dodoma kinastahili yote kinayopata... na kinastahili zaidi.
Hukujua?Kheee...ni cha CCM tena?
Phillemon Mikael:
Point ya kuwa UDSM ni chuo kinachotambuliwa duniani ni finyu sana. Na kama kinatambuliwa duniani basi kingeweza ku-attact wanafunzi kutoka nchi zingine ambao wangeweza kulipa gharama.
UDSM is spoiled. Kuna kipindi walikuwa hawatambui diploma kutoka vyuo vingine. Na kitu kitachosaidia UDSM sio serikali kuongeza matumizi ya chuo hicho, bali kuwa na upinzani kutoka vyuo vingine.
vyuo vyetu ubabaishaji..hata UD ni chuo changu nimesoma lakini walimu hawafanyi research! Wanataka waitwe maprofesa bila kufanya utafiti..sasa huko UDOM ndo itakuwa balaa zaidi...
Tatizo kubwa wengi tunadhani University ni majengo na magari ya kifahari. University ni RESEARCH! na kama UD iki-invest katika research haina haja ya kushindana na mtu..matunda yanaonekana. UDOM ni kelele tuu za siasa..hawana lolote....hebu tuwekane sawa hapa....tuache kushabikia maneno..we need hivi vyuo vifanye utafiti. I repeat..publication records za walimu UD zimeshuka sana tena sana! Hivi UD wana Journals ngapi ambazo ziko internationally cited?? I doubt kama kuna publication za vitabu kama vitano kila mwaka pale UD....I am not sure...
Hivi kweli Kama ile taasisi ya Mkandara ya REDET ndo ilitoa ule utafiti wa juzi..kwamba JK atashinda kwa 71%...jamani mnadhani kweli wana credibility tena? I for one I used to respect Mkandara, but I am sorry to say, I no longer take him serious... Naona ni politician tuu mwenye njaa zake...
Huwezi kuniambia eti chuo hakina pesa wakati VC na maofisa wakubwa mnaendesha magari ya kifahari...why not use the money to buy books? Ok..hamuwezi tembea kwa mguu..basi nunueni magari cheap! Bongo siasa tuu.. hata hao wasomi unaowaona..ni waganga nja tuu..wanachumia matumbo yao... ...
JK...make use of them to get what you want and dump them! wamesoma lakini hawatumii akili zao..
Nyumbani enzi zile...........ni waliofaulu tu ndio walikwenda shule za serikali na kujiunga Chuo Kikuu DSM ilikuwa lazima ufaulu A'Level...........average performers (not to disrespect anybody) wengi waliishia Ardhi (ukiondoa Architecture course), Mzumbe, Chuo cha Ushirika nk nk...............kuna watu (average performers) walipitia hizo colleges na wakabadilika kuwa VIPANGA kweli kweli.............LAKINI bado wana aina fulani ya "Ntimanyongo" kwa wale walioingia UDSM na chuo chenyewe...........huu ndio ukweli.
Binafsi sikupata bahati ya kuingia pale UDSM.......
Huyo mukandara mwenyewe na huo "uprofesa wake" ana articles ngapi kwenye international journals? UDSM inakufa kwasababu siasa zinaingizwa hata sehemu zisizostahili, siku hizi hapo hata kupata huo uprofesa lazima siasa zipite kwanza halafu mambo ya publications baadae sasa hapo kutakuwa na chuo kikuu kweli?