The Famous Jamii Forums Users niliojiunga tu nikawajua

Unamjua ONTARIO au unamsikia..?πŸ˜‚
Unajua aliwafanya nini makomamanga ya watu humu..?
Unajua ni kiasi gani aliipeperusha bendera ya forex baadae ikageuka mwiba kwa vilamba mwikoπŸ˜‚πŸ˜‚

Kwanza kalale uje tena
 
Hao wote ni vibaraka wa Mabeberu tu, hawana lolote zaidi ya kujimwambafy kama Polepole tu
 
Huyu Bibi Kasie je..?
Huto tupengo twake ulishawahi kutuona..? Mwanya wake je..?
Huyu ndo Bibi anaejua kufinyanga kichwa Cha chini mpk maji unayaita mma!.. πŸ˜‚
 
Tuachane na wote inamaana humjui Don Nalimison wewe..?
Na sahivi kawa msanii kaachia na vibao kadhaa!.. wengine wameenda mbali zaidi wamesema Jamaa ni TISS! Yani (Tanzania intelligence security services)πŸ˜‚πŸ˜‚ kiufupi Jamaa ni jasusi,mpelelezi na mlinzi mashuhuri..! Huyajui yote hayo..??
 
Kwa hiyo hunifeel wala nini niache kuvimba?
Jamani mi naitwa Zagarino Jo we Unaitwa Joanah kwani unafikiri tu tukicombine si tunapata RinojO au Jorinoh umeona ehh[emoji6][emoji6]
Kuna ka kitu hapo Kuch Kuch Hota Hai Joanah
 
Unamjua ONTARIO au unamsikia..?[emoji23]
Unajua aliwafanya nini makomamanga ya watu humu..?
Unajua ni kiasi gani aliipeperusha bendera ya forex baadae ikageuka mwiba kwa vilamba mwiko[emoji23][emoji23]

Kwanza kalale uje tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unamsahau vipi Pascal mayala mwana habari wetu..? Vipi kuhusu mtaalam wa tech kina chief mkwawa..?
Kule jamii intelligence humjui the bold..?

Tuachane na hao wake zangu je huwajui...? Kuna Kasie Lenie Saint Anne cariha Heaven Sent miss chaga sawima.... Naomba niishie hapo nisije leta Vita ya tatu..😜

Mkuu hata miss zomboko humjui..?πŸ˜‚πŸ˜œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…