The Financial Times laipigia debe Tanzania kwenye Utali, nini kimetokea?

Wameipigia debe Zenji sio Tanganyika
Dola la Tanganyika halipo.....lilishakufa....lilishazikwa na El Comandante JKN(Rip)....kifo chake kulikuwa ni bora kuliunda TAIFA HILI LILILOBARIKIWA AFRIKA.

G55 walianguka....

Mwenye kutaka kuirudisha TANGANYIKA avunjike mgongo wake ,aaaamin🙏

SIEMPRE JMT
 
Siku hizi mnachekelea kuandikwa na magazeti ya mabeberu?
Kwani sote tulikuwa tunawaita kuwa mabeberu?!!!

Mtu mwenye uelewa wa dunia....na diplomasia kamwe hawezi kunena hayo......

SIEMPRE JMT
NCHI KWANZA
 
Ngoja niendelee kujionea u turn za wana Lumumba
 
Mwondoka zake aliwabana mabeberu kende ipasavyo Sasa naona wanapumua mama yeye waala Hana shida nao
 
Hakika sijaona kama Rais Samia
 
Haya ni mawazo yako na yanaujinga mwingi,

Nini walitaka hapo kabla na hawakupata?
 
Laiti mngefahamu ni millioni ngapi kodi za watanzania zilitumika kuweka mapicha Times square...hii nchi bana
 
Safi sana. ila najua mtoa mada bado hajakuelewa. Hajaelewa kwamba ukiangalia vizuri hilo andiko la kwenye FT ni " a slap on the face"

Inauma sana ila ndo hali halisi. ......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…