The Financial Times laipigia debe Tanzania kwenye Utali, nini kimetokea?

What is fake reputation that we are having now? Do you want us to revert to grim times? living in hell that were subjected to during 2015-20? That Satan is buried and rotting at Chato and will not resurrect
 
Daah haya si maneno mazuri
 
Vyombo vya habari vya kimataifa havijawahi kuichafua Tanzania. Marehemu ndiye iliipaka uchafu nchi kiasi kwamba tukanuka kila mahali.
 
chadema hawajaelewa kabisa hii
 
Waooooh Tanzania
 
Habari njema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…