The Finest, Afrodenzi, Asprin, AshaDii, Mbu, MwanajamiiOne, Lizzy, Teamo

Saas

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2011
Posts
268
Reaction score
76
Nimefanya observation nikagundua kwa kiasi kikubwa mara kwa mara hawa members wakianzisha thread hapa MMU zinachangiwa sana, sasa huwa najiuliza swali ni kwa kuwa wanafahamika kwa members wengi hapa au thread zao zinakuwa na mvuto sana kiasi kwamba zinakuwa na wachangiaji wengi???
 
Mi nazani majibu yote ni sawa. Hata mimi napenda sana machapisho yao.
 
A,B na C yote majibu sahihi
 
wanagusa vionjo vyetu pia..............
 
Nilion mada ya mwanajamii juzjuz alikuwa anajitahidi kumjibu kila mtu anaechangia nahisi hiyo pia inakufanya ujisikie kupost na kupost, sasa wengine wakipost naona hadi page ya pili mwenye thread haonekani, waiii ya nn sasa
 
^WIVU huo!
 
hahahahahaaa!!!!
 
Waweza kuwa expert wa kuchangia....
....Huenda thread zako hazina mashiko.
 
Tafuta Kokudo search all started thread utaikuta thread km hii
 
Mada zao zinaibua mjadala na zinajadilika na zinakufanya ufikirie kabla ya kujibu na ujibu kulingana na mada halisi
Japo hatusemi wengine hawana mada za kujadili ila thread zao nyingi kwa kweli ni changamoto

Ni kweli na kizuri zaidi huwa hawakimbii threads zao, wanajibu au kumuuliza mtu swali kitu ambacho kinaendeleza mijadala na kuibua ideas nyingine pia!
 
Ni kweli na kizuri zaidi huwa hawakimbii threads zao, wanajibu au kumuuliza mtu swali kitu ambacho kinaendeleza mijadala na kuibua ideas nyingine pia!

Kweli kabisa na wanaendelea kuibua mijadala mingine within the same thread jambo ambalo linazidisha uchambuzi
Na ni za masuala ya maisha na malpenzi ambazo kwa kweli zina challenge nyingi sana za maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…