Nilion mada ya mwanajamii juzjuz alikuwa anajitahidi kumjibu kila mtu anaechangia nahisi hiyo pia inakufanya ujisikie kupost na kupost, sasa wengine wakipost naona hadi page ya pili mwenye thread haonekani, waiii ya nn sasa
alikuwepo Michalle
huyu dada alikuwa kiboko kwa uzuri wa mada zake
M
6. Pia tukubali kuwa kuna watu wamezaliwa na bahati ya kupendwa; hata kama hujawahi kumuona Afrodenzi, utampenda tu, ana hicho kismati! th! th! th!
DA nimekumiss sana ulipotelea wapi aise mpaka jukwa likadorora na yule dogo karibu ahame tena
Nipo bana hata mie nimekumis jibu PM basi
DA nimekumiss sana ulipotelea wapi aise mpaka jukwa likadorora na yule dogo karibu ahame tena
madai yake eti kutoka toka kunamfanya apate hata wa kumpenda ndo maana anaruka jukwa kwa jukwaaHuyu dogo bana anatakiwa viboko
Ha ha ha hiyo sababu ya nyongeza sio ya msingimadai yake eti kutoka toka kunamfanya apate hata wa kumpenda ndo maana anaruka jukwa kwa jukwaa
Ha ha ha hiyo sababu ya nyongeza sio ya msingi
Saas Join Date : 21st August 2011
Posts : 32
Rep Power : 0
...khaaa? yaani wewe umejiunga leo leo tayari "ushatuhukumu?"
usijali bana, si unaona nawe ushazoeleka sasa...ushachangiwa post 32...
karibu sana jamiiforums.
Mkuu upo
Mambo vipi
Aise leo sijakuona ulitafutwa sana uchangie siredi ya AD
...really? ngoja niitafute....ya AD = afrodenzi si ndio?
si unajua tena hizi kazi zetu za kuubembelezea mkono uende kinywani?
...will chk now...
Ngoja niongee nae maana nilimshauri kitu hajaelewa somo naonatatizo lake hapati kwa kuwa ni too selective na anaowapenda vigezo havitimii ndo maana hapati wa kudumu
Rocky ananichimba bana lol!Ngoja niongee nae maana nilimshauri kitu hajaelewa somo naona
Rocky ananichimba bana lol!