Nilion mada ya mwanajamii juzjuz alikuwa anajitahidi kumjibu kila mtu anaechangia nahisi hiyo pia inakufanya ujisikie kupost na kupost, sasa wengine wakipost naona hadi page ya pili mwenye thread haonekani, waiii ya nn sasa
Nimefanya observation nikagundua kwa kiasi kikubwa mara kwa mara hawa members wakianzisha thread hapa MMU zinachangiwa sana, sasa huwa najiuliza swali ni kwa kuwa wanafahamika kwa members wengi hapa au thread zao zinakuwa na mvuto sana kiasi kwamba zinakuwa na wachangiaji wengi???
Kwelii kabisa...mimi mmojawapo napenda sana kuanzisha topic lakini ntapotea tu kwa sababu ya mihangaiko....ktk sisi wengi uwezo wao ni bayana..hawana lugha za karaha...mada zao ni fikirishi ujishike...ukongwe dawa...wanakubalika...ndioo hata kijiji hakikosi mastarring...wapi bujiii,the boos nk..
Moria, upo mama? Yaani leo hapa kibandani kwangu hamna umeme, nikajidai mtaalam wa Pwani kwa kuvaa msuli, mbwa koko wa jirani kaja kaung'ata na kukimbia nao.
Sijui nifiche wapi aibu yangu
Buji bwana! Una vijimizemo! Haya Mbwa ndo kusema kaondoka na msuli eh? Ukabaki na bukta yako au?
Huwa hata mimi wananikosha kwa mada zao especially The Finest na Mbu huwa ninahisi labda this guys watakuwa wameoa
Moria, upo mama? Yaani leo hapa kibandani kwangu hamna umeme, nikajidai mtaalam wa Pwani kwa kuvaa msuli, mbwa koko wa jirani kaja kaung'ata na kukimbia nao.
Sijui nifiche wapi aibu yangu
Mkuu, nitawaarifu BAKWATA watoe tamko kali kwa mbwa wanaozalilisha waumini kwa kuwavua vazi.
Kwa hiyo vuzivuzi....tamka kiarabu hapo..... Ikabaki wazi!
...shughuli!...hapana, ila na engagement ring ya soulmate wangu, mwanajamiione...lol...
Oh shem nnje na msuli mwengine nkusetiri??Nimebaki mtupu sina hata aibu
...shughuli!...hapana, ila na engagement ring ya soulmate wangu, mwanajamiione...lol...
Mbu una kesi na mimi hata soulmate wako hawezi kuiamua maana na yeye anahusika lol!
Lol anahusika kwa kuwa ni Soulmate wa Mbu au naye ni mkosa? LolMbu una kesi na mimi hata soulmate wako hawezi kuiamua maana na yeye anahusika lol!
lol....shughuli!...kama ni hivyo ninavyohisi, mlaumu yeye bana....
...shughuli!...hapana, ila na engagement ring ya soulmate wangu, mwanajamiione...lol...