The FINEST my Foot

The FINEST my Foot

mkonowapaka

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
1,492
Reaction score
768
kwa lipi hasa mpaka iwe na title THE FINEST.....

Nani amelipitisha hilo.....mmeshadadia kuipa class iyo show while mhusika mwenyewe ni wale wale na tunamjua HANA JIPYA........

50k..are you out of ur mind? 50K city center just for what...what type of dinner and drinks are inclusive?na wale wabaya wa Anaconda watajazana humo just because............na iyo 50k mtakopana sana ili tu muende!!! shenzy type..

karibuni tutukanane!!
 
Hahahaha' dah umenifurahisha sana mkuu wa kazi. Me nilisikia tangazo nikahisi labda na Nicki Minaj atakuja tingisha ile kitu, kumbe ni hawa hawa tunaopishana nao kwenye baa zetu mtaan.

Sent from my BlackBerry Bold Touch 9930 using Tapatalk
 
YAANI mapuuzi kweli...huyo designer wao sijui Lawyer WiNGO katumika tu kuipa class ilo tukio ila HAKUNA JIPYA....................sina beef na yeyote ila kuhalisia hiyo ----ING FINEST HAINA HADHI YA TANGAZO LAKE....YALAITI?...COME OON
 
Hawa bongo fleva sijui nani ni washauri wao.
Washabiki wao ni watu wa hali ya chini kama mahouse gelo, madent na jobless, cha ajabu wanawatenga kwa kuweka kiingilio kikubwa.
 
kwa lipi hasa mpaka iwe na title THE FINEST.....

Nani amelipitisha hilo.....mmeshadadia kuipa class iyo show while mhusika mwenyewe ni wale wale na tunamjua HANA JIPYA........

50k..are you out of ur mind? 50K city center just for what...what type of dinner and drinks are inclusive?na wale wabaya wa Anaconda watajazana humo just because............na iyo 50k mtakopana sana ili tu muende!!! shenzy type..

karibuni tutukanane!!

Kama huna kiingilio peleka makalio yako show za buku 3
 
kwa lipi hasa mpaka iwe na title THE FINEST.....

Nani amelipitisha hilo.....mmeshadadia kuipa class iyo show while mhusika mwenyewe ni wale wale na tunamjua HANA JIPYA........

50k..are you out of ur mind? 50K city center just for what...what type of dinner and drinks are inclusive?na wale wabaya wa Anaconda watajazana humo just because............na iyo 50k mtakopana sana ili tu muende!!! shenzy type..

karibuni tutukanane!!

Jamaa inaonekana amejipanga.
 
YAANI mapuuzi kweli...huyo designer wao sijui Lawyer WiNGO katumika tu kuipa class ilo tukio ila HAKUNA JIPYA....................sina beef na yeyote ila kuhalisia hiyo ----ING FINEST HAINA HADHI YA TANGAZO LAKE....YALAITI?...COME OON

Yaani,mnalaumu kwanini wametengeneza show kali?
 
MwanaFa amebuni kitu ambacho wasanii wa Tanzania wangekuwa wabunifu hizi kelele za kuibiwa zingepungua,ukweli ni kwamba kufanya biashara ya muziki wa bongo ni mgumu sana,wasanii wengi wamekosa hela nyingi tatizo ni kuwa na mipango na management mbovu.Idea ya kushirikiana na wazee wa njenje itasaidia hata wasiopenda muziki wa vijana na wao wahudhurie,kwa wasanii wa bongo Diamond pekee ndio alifanikiwa kufanya show ambayo kiingilio kilikuwa 50,000, ngoja tusubiri tuone response ya mashabiki wa Bongo
 
namkubali sana mwanaFA!MNO!
lakini katika hili amecehmsha mno!
huo wimbo wake alioshirikisha watu mia kidoog unaobeba hiyo show ya J3 ni mbovu sijawahi kuona!
mwanaFA ubora wako upo kwenye flow ya mashairi na ghani zake!jinsi vile unatengeneza kiimbo kwa kutumia istilahi unazotumia!ulichoamua kufanya kimekushusha zaidi ya ulivotegemea utapanda!SIJAKUELEWA!
naomba anayemjua amfikishie salamu,kutoka kwa shabiki wake sana,mno!
 
Sawa ni kweli hii track si kali but target ya wimbo ni kutafuta mashabiki toka upande mwingine,tunachozungumzia ni idea ya show ya Finest ambayo itakuwa ni Live hakuna kutumia CD,kumbuka hata track zake kali kama Binamu,Alikufa kwa ngoma,Ingekuwa vipi zote zitapigwa
 
hakuna sababu ya kulazimisha kutafuta mashabiki upande mwingine kama kwelu unaamini katika nguvu uliyonayo katika kile unafanya!
angekomaa pale na show ingehit vile vile!
 
The issue sio show ku-hit the idea ni how to generate money
 
Mmekariri kulipa pesa stahiki kwa wasanii wa ulaya alafu wasanii wa hapa mnataka mlipe bei chee???

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom