mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 768
Hahahaha' dah umenifurahisha sana mkuu wa kazi. Me nilisikia tangazo nikahisi labda na Nicki Minaj atakuja tingisha ile kitu, kumbe ni hawa hawa tunaopishana nao kwenye baa zetu mtaan.
Sent from my BlackBerry Bold Touch 9930 using Tapatalk
kwa lipi hasa mpaka iwe na title THE FINEST.....
Nani amelipitisha hilo.....mmeshadadia kuipa class iyo show while mhusika mwenyewe ni wale wale na tunamjua HANA JIPYA........
50k..are you out of ur mind? 50K city center just for what...what type of dinner and drinks are inclusive?na wale wabaya wa Anaconda watajazana humo just because............na iyo 50k mtakopana sana ili tu muende!!! shenzy type..
karibuni tutukanane!!
kwa lipi hasa mpaka iwe na title THE FINEST.....
Nani amelipitisha hilo.....mmeshadadia kuipa class iyo show while mhusika mwenyewe ni wale wale na tunamjua HANA JIPYA........
50k..are you out of ur mind? 50K city center just for what...what type of dinner and drinks are inclusive?na wale wabaya wa Anaconda watajazana humo just because............na iyo 50k mtakopana sana ili tu muende!!! shenzy type..
karibuni tutukanane!!
YAANI mapuuzi kweli...huyo designer wao sijui Lawyer WiNGO katumika tu kuipa class ilo tukio ila HAKUNA JIPYA....................sina beef na yeyote ila kuhalisia hiyo ----ING FINEST HAINA HADHI YA TANGAZO LAKE....YALAITI?...COME OON
Kama huna kiingilio peleka makalio yako show za buku 3
Sawa ni kweli hii track si kali but target ya wimbo ni kutafuta mashabiki toka upande mwingine,tunachozungumzia ni idea ya show ya Finest ambayo itakuwa ni Live hakuna kutumia CD,kumbuka hata track zake kali kama Binamu,Alikufa kwa ngoma,Ingekuwa vipi zote zitapigwanamkubali sana mwanaFA!MNO!
lakini katika hili amecehmsha mno!
huo wimbo wake alioshirikisha watu mia kidoog unaobeba hiyo show ya J3 ni mbovu sijawahi kuona!
mwanaFA ubora wako upo kwenye flow ya mashairi na ghani zake!jinsi vile unatengeneza kiimbo kwa kutumia istilahi unazotumia!ulichoamua kufanya kimekushusha zaidi ya ulivotegemea utapanda!SIJAKUELEWA!
naomba anayemjua amfikishie salamu,kutoka kwa shabiki wake sana,mno!
Sawa ni kweli hii track si kali but target ya wimbo ni kutafuta mashabiki toka upande mwingine,tunachozungumzia ni idea ya show ya Finest ambayo itakuwa ni Live hakuna kutumia CD,kumbuka hata track zake kali kama Binamu,Alikufa kwa ngoma,Ingekuwa vipi zote zitapigwa
The issue sio show ku-hit the idea ni how to generate moneyhakuna sababu ya kulazimisha kutafuta mashabiki upande mwingine kama kwelu unaamini katika nguvu uliyonayo katika kile unafanya!
angekomaa pale na show ingehit vile vile!
The issue sio show ku-hit the idea ni how to generate money
Off course hatuelewani mimi nazungumzia idea ya Finest wewe unazungumzia wimbo wa Kama zamaninahis hatuelewani!
haya tengenezeni hela bila hiyo show kuhit!