The Finest...Wewe ni kiboko, hongera sana!

The Finest...Wewe ni kiboko, hongera sana!

Dark City

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2008
Posts
16,253
Reaction score
11,626
Huyu mjukuu amenitisha sana, hebu ona hapa chini
The Finest
JF Senior Expert Member

Join Date: Wed Jul 2010
Posts 5,568

Thanks 1,695
Thanked 907 Times in 729 PostsRep Power
32

With over 5.5K posts in 5 months..sijawahi kuona! On average jamaa anarusha zaidi ya posts 30 kwa siku.

Bravo mjukuu!

Babu DC.
 
kwa kweli anastahili pongezi, keep it up The Finest
 
He he he he ndo raha ya kutokua na wakoloni ambao sio Tineja...
 
ukute hapo ana vi-id vingine pia...:teeth:
 
He he he he ndo raha ya kutokua na wakoloni ambao sio Tineja...

Hahaa...hata akiwa kikongwe wa miaka 99...spidi ya kubandika lazima iwe kubwa...
Well done TF.
 
huyu jamaa nadhani analala jamvini na kushinda hapa pia!
 
Mmmmmmmmmmmmmmh!!!!!!!!!!!!! kama vile ana upload tu!
Big up.
 
umemkubali eeeeh!hebu mzawadie basi!
NOTE:kumbuka Finest ni member wa kile chama............!!!!!!!

Duuuu....Sasa wewe unaanza kutoka nje ya mada...Ila kwa jinsi ninavyowajua wapenzi wa infi..naweza kukusamehe. Hiyo addiction ni zaidi ya cocain!
 
Tutajie basi tuvijue!

Haaaa Babu ku-maintain ID mbili na yenyewe ishu labda ningekuwa naudhuria jukwaa lile jingine la mustakabali wa taifa letu ningekuwa nazo mbili maana kule uchelewi kutoa matusi ukapewa BAN
 
Back
Top Bottom