The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
aina gani ya mchango mkuu?tafadhari nipe shule kidogo hapo!!
so far....
HAKUNA HATA MMOJA ALIYENIAHIDI VIJIZAWADI KWA AJILI YA mtoto
:A S crown-1::A S crown-1::A S crown-1:
hii inammanisha mkwe wangu hufanyi kazi naanza kuona dalili za mwanangu kuwa anafata matumizi nyumbani kwa siri.
Hongera sana mkwe wangu....
send me your address, i'll bring you some...
cute ones!!
hapo kwenye bold unamaanisha tumtunuku u-udp au nini mkuu!
By the way, tf anajikoloni mwenyewe!~
Hapo kwenye bold unamaanisha tumtunuku u-UDP au nini mkuu!
By the way, TF anajikoloni mwenyewe!~
Umeshapata jibu kutoka kwa The Finest.Mkuu ingekuwa vizuri sana kama ungejalibu kujibu swali langu la msingi!kama kuna typing error I am sorry for that!!
Finest hongera sana bana....Courvoisier on me nikirudi
Hongera sana......leo tuna sababu nyingine ya kufurahia! Kuna B/day na tuna kijana ambaye hana speed governor kwenye kurusha posts.
how about this.........tutengeneze makange wenyewe!
Huyu mjukuu amenitisha sana, hebu ona hapa chini
With over 5.5K posts in 5 months..sijawahi kuona! On average jamaa anarusha zaidi ya posts 30 kwa siku.
Bravo mjukuu!
Babu DC.
bring me some as well
usijali....on your birthday!!
Send me the date kabisa ili nisisahau....
I'll be waiting btw ukiweza naomba uniletee majani kutoka kwa Musharraf nasikia ya Arusha au Malawi hayaoni ndani
check your pm shortlySend me your address, i'll bring you some...
Cute ones!!
usijali....kingine opium kidogo si itakufaa au???
usisahau kumwita invizible pale sebuleni kwenu na mabinamuz wote