The First Lady of France can always be counted on for an elegant look.

Emanuel macron akiwa na umri wa miaka 15 tu alikutana na huyo mkewe Brigitte Macron,Brigitte akiwa mwalimu Province high school 1993 na Emanuel akiwa mwanafunzi,Emmanuel na Biggite walifunga ndoa mwaka 2007,Biggite ana umri wa miaka 67 wakati Macron umri wake ni 42 yrs old.
 
Mwalimu wa literature, alifundisha Kilatin na Kifaransa. Ndiye mbunifu wa safari ya Macron kisiasa. Akili kubwa.
Kwanini asingeutumia yeye huo mbunifu kwake mwenyewe ili yeye ndie angekuja kua France president?
 
Jamaa kaoa mama ake. Mapenzi haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…