Salute mate.. Huko china miaka ya 544BC alizaliwa bwana mmoja anaitwa Sun Wu, huyu bwana alikua jenerali wa jeshi la uchina ya zamani. Anafahamika zaidi kama Sun Tzu, alikua ni mtaalamu wa mikakati ya kijeshi. huyu jama aliandika kitabu kimoja kinaitwa The Art of War, kitabu hichi ni maarufu...
www.jamiiforums.com