Hodii wanajamiii forum leo ntaka kujua hii coin iliishia wapi na waafrika wengi waliwekeza kumbe ni utapeli inaitwa onyxcoin ilianzishwa na kwakoo group ya kenya chini ya Anthony saint muzungu na wengine kama eng. Gideon wanyoike mi miaka mitatu haina matumainj kama watu wakivyodanganywa
Logo ya coin yenyewe hiyo
Mwanzilishi anthony saint muzungu aliyedanganywa watu alikusanya kama $3.5
Sidharau nchi za Africa lakini hata siku moja siwezi invest hata cent yangu kwenye coin yoyote iliyoanzishwa na mu-Africa...Africa janja janja nyingi sana [emoji23][emoji23][emoji23]