M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,203
- 23,027
huyu motto Dembele huyu......lazima atakuwa Messi wa baadae huyu!
VIDEO: 13-year-old superstar the next Lionel Messi?

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli chief, "god" Messi hakuna mwanadamu atakayeweza kuja kumfikia - watu wataishia kucheza vile kwenye playstation tu!Hatatokea mchezaj like mes labda baada ya miaka 200. ukianzia kiwango chke staili yke ya uchezaj had recod zke ni vigumu kuclose kwa mchezaji yeyote.
Binafsi naemuona atakuja kuwa mkal baada ya kustaafu messi ni PAUL DYBALA pekee hili toto achananalo.lakin sio kwamba atafanana na messi never. Messi kitu ingine bana.
Wameshindwa akina denis yule dogo wa madrid na mwingine yupo barca ndo ataweza huyo?????
Wa kumrithi messi hataonekana ovyo
Ataibuka gafla
Wameshatabiliwa wengi wa kumrithi mess lakini huwa wanaishia njiani
Hao madogo ka dembele wapo wengi tu Ulaya ktk acardemy zao
Hata pale arsenal kuna mtoto mkali kuliko hata huyo dembele
KUNA MTOTO ALIIBUKA LAMASIA ANAITWA BORJAN KRIKIK alikuwa hatari na akatabiliwa kuwa ni Messi mpya ,
UNAJUA ALIKOPOTELEA?
KUNA WACHEZAJI WENGI ZAIDI YA HUYO DEMBELE LKN HATA ROBO YA MAFANIKIO YA MESSI PALE LAMASIA SIO BARCA YA WAKUBWA , HAWAJAMFIKIA ,
NDIO MAANA NAAMINI ITACHUKUA MUDA KUMPATA PLAYER LIKE LAPULGA MESSI
TENA ATAIBUKA KUSIKOJULIKANA,SIO WA KUIBULIWA NA MEDIA