Mchezo huu mzuri sana tena sana,mchezo huu ni rahisi kwa kila mtu kuucheza,nitawapa link nao utafunguka uta-click mouse yako utakuta mouse yako ni KIATU utakirusha kiatu kwa kubonyeza kidole chako kushoto ndipo kinachomoka kiatu kumchapa nacho G.W.Bush,haya basi "onyesha shabaha yako" usimkose