Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Kuna member humu kwa jamvi kasoma hyo novel au tazama movie yake. Tujikumbushie hapa! Welcome
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo alikuwa anamwambia godson wake johny fontane,movie star!Kitu Luca brass, funaci, the tatanglia family, peter clemenza, tesio, na misemo ya don: a man who does not take care of his family is not a real man.
Mi nnazo zote tatu. Pary one mpaka part three. Tokea mwanzo wa Vito Antonio Andorlini ambae origin yake ni a small town of Corleone in Italy. Kaka yake na mama yake waliuwawa na mafia boss mmoja ambae Vito alivoanza Biashara na kuanzisha kampuni ya Genco Imports iliyokuwa inatoa Olive oil Italy na Kuuza America, Alikipiza kisasi kwa kumuua huyo Mafia boss by then akiwa mzee sana. Vito alifariki akiwa anacheza na mjukuu wake kwenye bustani ya nyanya. Mjukuu huyo alikuwa mtoto wa Michael Corleone ambae ndio aliyerithi u Don kwenye family.
vincent, ambaye alikuwa mtoto wa marehemu soni ndiyo aliyerith u-don toka kwa michael, mtoto wa michael kujihusisha na mambo ya biashara zao.
Mbona mimi hamnitaji taji? Au kwa kuwa nilikuwa adopted tu wenye ile familia?
Mkumbuke kuwa hii ni title tu na kile familia .
Terminologies kibao: going to the matress, doing the job on ..., breaking the bone
Vincent, ambaye alikuwa mtoto wa marehemu Soni ndiyo aliyerith u-don toka kwa Michael, mtoto wa Michael yeye hakutaka kabisa kujihusisha na mambo ya biashara zao.
Consigliere ni mtu muhimu sana katika kila Familia, na kila familia ilikuwa na wa kwake, ndiye mshauri na the right handman of the Don,projects na activities zote ni lazima ziwe reviewed naye.wewe ulikuwa adopted toka wapi? ulikuwa unaishi na kina sony au!
"the problem of my sons is that, they talk when they are supposed to listen and they keep silence when they are supposed to talk" Don