The Gods Must Be Crazy - part one

The Gods Must Be Crazy - part one

Rusumo one

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
3,458
Reaction score
4,283
Wakuu hongereni kwa majukumu.

Tafadhali naomba mwenye movie tajwa juu atume hapa ile yenye landrover ikimkimbia mzungu kwenye geti.
Thanx in advance
 
Dah!...kitambo sana hizi movie...itabidi na Mimi nitafute nikumbuke enzi hizo.
 
Screenshot_20230412-091107.png
 
Wajukuu wangu wanataka waione sasa utube zipo kuanzia part 2 na kuendelea
 
Back
Top Bottom