Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Kizuri chajiuza kibaya chajitembezaHivi sasa tunashughulika na rugby world cup na athletics pale Monaco breaking 3000 metres steeplechase world record. Msingoje kuletewa(kutembelewa/Omba omba) pia nyinyi mtembee kuweza kumarket your country kama vile through sports angalau jina lisikike na bendera ijulikane.
Sio eti huyo golfer ata-hold a press conference kuwatangazia dunia mzima kuwa alizuru Serengeti.
Si umeona vile mnajitembeza na kibakuli hata kwa golfer...yani hamna aibu ya kuomba omba.Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza
Teh teh golfer kaja nyie si ndo mnazunguka huko kwa mabwana zetu kusaka maisha kimbizeni upepo huko mpate kuishiSi umeona vile mnajitembeza na kibakuli hata kwa golfer...yani hamna aibu ya kuomba omba.
Calm down.Teh teh golfer kaja nyie si ndo mnazunguka huko kwa mabwana zetu kusaka maisha kimbizeni upepo huko mpate kuishi
InamankuswekeCalm down.