Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Hili ni Azimio la October mwaka jana kupinga sera ya sasa ya covid. Essentially, linasema, wazee ndio wako at risk, kwa hiyo wasichanjwe wao peke yao.
Wauguzi wengi wanaipinga hii Sera ya sasa. Yupo,kwa mfano, Dr. Sucharit Bhakdi,virologist,anayesema"tumum uke, madaktari wanaoipinga hii sera ya sasa ni wengi kuliko wanayoiunga mkono."
Marekani,wauguzi wanaoipinga hii sera ya serikali,wanatiwa msukosuko.
Hizi habari nimezipata katika whatdoesitmean.com.