The Greatest JF intelligent man

Mjadala unapoenda itabidi tuconsult desa za intelligence. Tuweze ku define na kujua qualities za intelligent person. Kisha tukubaliane nani intelligent. Pia tunsome Howard Gardiners Multiple intelligence
 
Yeah naomba Mods ikiwezekana tupange siku ya mdahalo wa pointi kuhusu nani bora japo kwangu ni The bold, siimaanishi wengne hawapo au hawawezi but nimesoma nyingi issue za huyu jamaaa.That is I appreciate this Person
 
amezumziwa mtu aliebora katika jukwaa la intelligence kutokana na machapisho yake,hakika bila kigugumizi @TheBold is the most among the others jamaa analitendea haki jukwaa hili
 
The greatest intelligent man ?

Kiukweli sina pingamiz, THE BOLD yupo vizuri sana kwenye fasihi simulizi kama si andishi, hapa JF sijaona kabla.
Ila kum-credit kama THE GREATEST INTELLIGENT MAN hapa JF siyo sawa kabisa.
Labda kama una definition yako binafsi ya intelligence au bado mgeni umekuja JF juzi.
Kwenye rank za ma-intelligent THE BOLD hapa JF hawezi kuwemo, ila katika waadithiaji bora basi THE BOLD ataongoza msafara.

Mtafute huyu...
Monstgala / @MGALANJUKA
Kiranga
Nyani Ngabu
NullPointer
alwaatan
@de-levis
FREE-ideas
Ishmael
Nkwesa Makambo
mshana jr
Apollo
the list goes on and on
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…