The Greatest Man in Universe: Kijana mdogo aliyefanya makubwa na kuacha alama akiwa na umri mdogo

[emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa
Binafsi the Greatest man ni Ignatio Byamanyilwohi
 
Ivi Maria si alizaaga watoto wengine tofauti na yesu?

121.
 
Yesu ni mfano hai na wa kuigwa kwetu maana pia alikua na Uungu ndani yake sioni mtu mwingine wa kumlinganisha nae.
 

Shakespeare or Edward de Vere
 
Joseph ña Maria waliokuwa wameshaoana alipozaliwa Yesu?

Sasa unataka kutwambia Joseph alikuwa na matatizo?maana Yesu alizaliwa ki muujiza Maria akiwa ni bikira.

Nahisi kama umeongeza chumvi kijana.
 
Wapi Yesu anasema "Mimi Mungu"?
 
Tusaidie kurani inasema vitabu vilivyotelemshwa Kuna torati,zaburi ,injili na kurani.

Kurani tunaiona.Hivyo vitabu Vingine viko wapi? Waislamu tuonyesheni
"kurani mnaiona wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…